Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Paloma ni bonge la sentahafu....ila ukweli utabaki kuwa charminglady ndio namba moja wangu..Kumbe Paloma kisiki cha mpingo eenh!? Hiyo ilitulia hata mimi nampa big up.
Halafu ujue charminglady ni dada yangu toka nitoke. Sasa unapoanza kupiga misele kwa mdogo wa my wifey mwaJ hapo naona utata!?
Huyo mdogo wake mwaJ nataka kumlea tu mkuu...ila ya Mungu mengi kwani hatujui mpango wake ni upi kunikutanisha nae jana...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Last edited by a moderator: