Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hivi huwa anaongea vitu gani hasa huyo Msemaji ?Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
Msigwa hana jipya anadharau sn, nadhani kuna nguvu za giza zinampa kiburi snWanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
Kila la kheri...yale maswali magumu usiache kumuuliza.....Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, anatoa makaribisho rasmi.
Balile amesema huu ni mwaka wa uchaguzi, hivyo media ambayo ni mhimili wa nne, tumemtafuta Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ili tusemezane mawili matatu.
P.
Hapo watu wamefuata posho hakuna la maanaMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, anatoa makaribisho rasmi.
Balile amesema huu ni mwaka wa uchaguzi, hivyo media ambayo ni mhimili wa nne, tumemtafuta Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ili tusemezane mawili matatu.
P.
Bora niangalie maigizo kuliko kumsikiliza Msigwa na kiburi chake cha uganga wa kienyejiHivi sasa Gerson Msigwa, anazungumza
P
Msimamo wa serikali kwenye reform ya katiba ? Kwa nini inaonekana kama wanaogopa tume huru uchaguzi na kufanya reform ? Kuna shida gani ?Hivi sasa Gerson Msigwa, anazungumza
P
Mhimili wa nne kivip? Unamaanisha kwamba huu mhimili unajitegemea kabisa bila kuelekezwa na ule mhimili wenye mizizi mirefu inayofika kwenye bahari?Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, anatoa makaribisho rasmi.
Balile amesema huu ni mwaka wa uchaguzi, hivyo media ambayo ni mhimili wa nne, tumemtafuta Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ili tusemezane mawili matatu.
P.
ana maana atawapa hela siyo....mwaka wa wahariri kuvuna na kupunguza njaa(siyo kuimaliza maana njaa ni hitaji endelevu la binadamu).Msigwa amesema huu ni mwaka wa uchaguzi, amewaomba wahariri ushirikiano, amewaahidi wahariri yeye atawapa kila aina ya ushirikiano utakao hitajika.
P
Mzanzibar ana maneno matamu huyu. Tunangojea maelezo ya 4R. Au 4R zilikuwa za yeye na kamanda Mbowe tu?Msigwa, ameanza kwa kutupa salaam kutoka kwa Rais Samia, alipomwambia rais kwa anakuja kukutana na wahariri, Rais Samia, alimwambia Msigwa, nenda kawasikilize na nawahidi, nitawapa kila wanachokitaka.
P
Huenda hata Samia hajui alipo Msigwa leo, fear Politicians.Msigwa, ameanza kwa kutupa salaam kutoka kwa Rais Samia, alipomwambia rais kwa anakuja kukutana na wahariri, Rais Samia, alimwambia Msigwa, nenda kawasikilize na nawahidi, nitawapa kila wanachokitaka.
P