Live From LEO TUPO HAPA PUB, in PALOMA'S Birthday. Waawaaa!!!!!

Live From LEO TUPO HAPA PUB, in PALOMA'S Birthday. Waawaaa!!!!!

Wale mlio mbali. Hyo ndo keki ya mtoto mzuri alyezaliwa leo. HBD Paloma

540725_451263834946822_594162211_a.jpg
 
Last edited by a moderator:
Keki ni tamu hata kwa kuiangalia. Pemben kuna kitu cha Strawberry lips na Contessa. pamenoga haswa. Happy Birthday Paloma.

69259_451264788280060_416870324_a.jpg


Narudi
 
Last edited by a moderator:
Fast jet best ilikuwa na foleni balaa yani nimefika nusu saa sasa
Hongeren sana guys. Nimefurah kuzungumza nany wote.Mc Madame B mwenye kipaji cha pekee hakikisha hapo pananoga, Paloma hongera sana. Usisahau mkataba wetu mpya. Jeska uje Mwanza nkununulie kikuku kingine, Zion Daughter ahsante kwa kuniwakilisha, Kaizer pia 2pia biere 2 kwa niaba yangu Hommie, Ruttashobolwa simamia haki na usawa, kipaji halisi onesha kipaji chako cha kucheza kiduku, Bujibuji angalia yaskukute ya white party. Halafu amu una kesi ya kujibu..

Narudi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom