Live From LEO TUPO HAPA PUB, in PALOMA'S Birthday. Waawaaa!!!!!

Na wewe mtindo wako wa ku BIP kwenye party zetu za chit chat uwache, ilikuwaje ukatimba maguu na kisha kuteleza katika mazingira ya kutatanisha.

Naongea na wewe Superman

Eheeeeeee halafu wewe Jeska nilikuwa nakutafuta uingie katika 18 zangu. Sasa Murua . . . mambo poa . . .

Iko hivi Madame B ni mgonjwa wangu na nilikuja kumletea dawa. Sasa kwa kuwa muda wa tukio la baby Paloma ulikuwa umefika ikabidi nije sehemu ya tukio. kwani ni vibaya bandugu?

Mbona ile party yenu ya "Nguo Nyeupe" kama malaika sikuja japo taarifa zote nilizipata. I mean I am a Superman you know.

Pili niliondoka katika mazingira ya uwazi na ukweli maana nilimuaga kila mtu. Hata Mtambuzi na Bujibuji ni shahidi wangu.

Ila uwe unanishtua kama kuna minuso mingine.
 
Last edited by a moderator:
Much love Superman

Back
Top Bottom