Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Fanyeni kazi acheni starehendio kwanza zimeanza...
Fanyeni kazi acheni starehendio kwanza zimeanza...
Fanyeni kazi acheni starehe
Fanyeni kazi acheni starehe
Fanya kazi upate pesa ufanye matanuzi.
Baelezee! Kazi ya pesa ni matumizi!
mi nimewamiss sana hasa wewe mpaka nimekonda.... kwa siku moja.....
ulikuwa unawazia dushelele?
Narudi
Fanyeni kazi acheni starehe
Ahhh wapi..unanienjoy tu hapa.. mie jana nilipata partner nikakusahau.. ulivonitenda white party bado nakumbuka
ila si nimeckia kuwa we umeachika? Najua kuwa nafasi ipo.
Narudi
eenh! nahisi utakua ulimwona jogoo wa Mzee Mwalubadu...kipindi kile umekuja kijijini!!
Starehe zina muda wake na kazi zina muda wake
Sasa tupo pamoja!Tumia pesa ikuzoee kaka!
Ponda kufa mali kwaja, lol
Sio maendeleo?Fanya kazi upate pesa ufanye matanuzi.
Boss wangu Shikamoo
Sio maendeleo?
Marhabaaaa..Tunashukuru kwa uwepo wako jana.Ulitubariki sana.Hivo na wewe endelea kubarikiwa.
Ahhh wapi..unanienjoy tu hapa.. mie jana nilipata partner nikakusahau.. ulivonitenda white party bado nakumbuka
Boss niliangaza macho sikubahatika kukuona. Ulijificha wapi? Au ndo haya hapa chini?
Fanyeni kazi acheni starehe