Kwako kuna mabinti wangapi? Nataka kuchumbia.
Narudi
teh!! poleeee....jogoo akizeeka huwa anataga kayai fulani kadogo na huwa kanakuja kwa surprise tu si jogoo wote hufanya hivyo.
Yes daddy... hata me nishawahi kukaona kayai kajogoo. huwa naduchu kama ka njiwa!!
Tumekumisi sana.
wala usihofu mkuu, kuna kitu tunaandaa mimi na Mjeda, na kitakuwa si cha kawaida, stay tune.....................
Wote tushaolewa.. Hebu nenda kwa demu wa baba wa zamani Husninyo make yeye ndo ana mabinti wengi.km timu ya mpira wa mikono afu hawajaolewa wote ujichagulie!!!?
Jana nilikuwa naiwazia ndoa yangu changa.
Tokomea,hata usiporudi