mate yananitoka sijui nijee
mate yananitoka sijui nijee
hakuna tabu mpwa. I hope next tyme 2tajumuika pa1. Dar ni dar tu.
Narudi
I never had a thought that u in da house....lol yaan nimecheki hizo meza kweli ni kitu ya "Leo Tupo Hapa"....poor me!!!!
ahsante sana mkuu Rutta kwa kuniunganisha na wadau hao wote kwa njia ya kilonga mbali. Nimefurah sana.
Narudi
Nashukuru mpendwa...nilishatoa udhuru kwa tangu awali...
watu8 misses u a lot mpendwa!!!
Ubarikiwe..Other time Mungu akitujalia kibali
Hii cake tamu sana/
aminaaaa!!! unilie kipande changu cha keki...
Hongeren sana guys. Nimefurah kuzungumza nany wote.Mc Madame B mwenye kipaji cha pekee hakikisha hapo pananoga, Paloma hongera sana. Usisahau mkataba wetu mpya. Jeska uje Mwanza nkununulie kikuku kingine, Zion Daughter ahsante kwa kuniwakilisha, Kaizer pia 2pia biere 2 kwa niaba yangu Hommie, Ruttashobolwa simamia haki na usawa, kipaji halisi onesha kipaji chako cha kucheza kiduku, Bujibuji angalia yaskukute ya white party. Halafu amu una kesi ya kujibu..
Narudi
hahaha. Mi nitawabebea member wa Mwanza.
cc- charminglady, Judgement, evelyne Salt, Elizabeth Dominic, beibe nasty n.k.
Nakuja hapo sasa hivi kuwapiga picha
Fast jet best ilikuwa na foleni balaa yani nimefika nusu saa sasa