Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
 
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Mada ya huo mkutano ni kutisha kwa hizo 8t ama ni nini?
 
Kikao kimeanza kwa Mkurugenzi wa Uhusiano wa NSSF, Madam Lulu Mengele, kututambulisha viongozi wa NSSF, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba, ambaye ameandamana na the top menejment yake wakiwemo wakuu wa mikoa ya ki NSSF , mkoa wa Ilala, Temeke na Kinondoni.
P
 
Mada ya huo mkutano ni kutisha kwa hizo 8t ama ni nini?
Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
 
Madam Lulu, amemkaribisha Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, aliyetambulisha safu ya wahariri akianza na Makamo Mwenyekiti Bakari Machumu, kamati tendaji ya TEF, na wahariri tuliopo.
P
 
Waambie NSSF sisi walimu wa private tunaomba tupewe fao la kujitoa,tunateseka mtaani hatuna kazi ,hatuajiriki Tena ata ukiajiriwa mshahara ni kidogo sana walimu wamejaa mitaani kama karanga.Nina miaka 50 kweli nife wakati pesa zangu zipo zaidi 40m
 
Hongereni Kwa kikao Kiongozi,

Pili tumpongeze Mkurugenzi Mkuu wa huo mfuko kuweza kukuza Mfuko wake, hiyo ni dalili kwamba fedha za Wastaafu zipo salama.

Maoni yangu ni kuharakisha utoaji wa pension pamoja na fedha za wanufaika pasipo kuchelewesha.

Kuna watu wamefutwa kazi ama kuachishwa kazi hasa Sekta binafsi, lakini inachukua hadi miaka kuweza kupewa fedha zake za akiba.

Mwisho japo sio Kwa umuhimu, NSSF ipi ilikuwa bora kati ya hii ya Bwana Mshomba ama ile ya Dokta Dau?

Mkutano mwema 🙏
 
Pole sana, ni wewe kutojua tuu, ikitokea hauna ajira, badala ya withdraw michango yako, omba fao la kukosa ajira, utalipwa 60% ya mshahara wako wa mwisho mpaka upate kazi, huku ile milioni 40 yako ukigeuka milioni 120!.
P
 
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Sasa kitu gani kinatisha? Mfuko hauna pesa za kutosha kukidhi mafao huko mbeleni ?
 
Hongereni Kwa kikao Kiongozi,

Pili tumpongeze Mkurugenzi Mkuu wa huo mfuko kuweza kukuza Mfuko wake, hiyo ni dalili kwamba fedha za Wastaafu zipo salama.

Maoni yangu ni kuharakisha utoaji wa pension pamoja na fedha za wanufaika pasipo kuchelewesha.

Kuna watu wamefutwa kazi ama kuachishwa kazi hasa Sekta binafsi, lakini inachukua hadi miaka kuweza kupewa fedha zake za akiba.

Mwisho japo sio Kwa umuhimu, NSSF ipi ilikuwa bora kati ya hii ya Bwana Mshomba ama ile ya Dokta Dau?

Mkutano mwema 🙏
Unajikomba?
 
Back
Top Bottom