Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Waeleweshe umuhimu wa makusanyo ya wanachama kuzaa faida na sio kusifiwa tu!!
 
Balile ameipongeza NSSF kwa maboresho mbalimbali ya mafao na mifumo, sasa huna haja kwenda NSSF, bali unatumiwa taarifa za michango yako kwenye simu yako.
P
 
Balile ametoa maelezo ya utangulizi kuhusu, kwa kupongeza mahusiano mazuri kati ya NSSF na vyombo vya habari yaliyo asisiwa na Dr. Dau na Ofisa mahusiano wake Eunice Chiume, na kumpongeza mkurugenzi wa sasa Masha Mshomba na Osisa mahusiano wake madam Lulu Mengele. Siku zote NSSF inadhamini mikutano ya TEF.
P.
Waulize hao nsssf kwa nini wasiachane na utaratibu wa kuwasumbua wastaafu kuwajazisha mafomu wakiwa wameshastaafu na hawapo kazini wakati details zote za hao wafanyakazi wanazo au kwa nini wasizihakiki mtu akiwa kabakiza miaka miwili au mmoja kabla ya kustaafu na siku anastaafu au mwezi mmoja kabla hajastaafu mafao yake yawe tayari.!?
 
Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
Waulizeni
1. hivi kikokotoo kimefanya mfuko utune kwa kiasi gani?
2. Mzee wa miaka 60 akifa baada ya miaka 5 na alibakisha milioni 100 kwenye kiinua mgongo chake zinaendaga wapi?
 
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
8,500,000,000,000.00 Tanzanian Shillings =

3,125,067,876.97 US Dollars

1 TZS = 0.000367655 USD
1 USD = 2,719.94 TZS
 
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mchomba, alieleza mengi ya muhimu sana kuhusu NSSF.
P
 
Baada ya Maelezo ya DG Mshomba, kulifuatia presentation kuhusu NSSF.
P
 
Zikafuatia testimonials za waandishi wa habari wastaafu wa NSSF, Flora Wingia wa The Guardian Ltd na Bakari Machumu wa Mwananchi walitoa ushuhuda jinsi NSSF inavyo wa take care baada ya kustaafu.
P
 
Kisha NSSF ikatoa tuzo kwa waandishi 7 wastaafu wa NSSF, wakiongozwa na Flora Wingia, Bakari Machumu, Jese Kwayu, Theophyll Makunga, Absolom Kibanda, na Beatrice Bandawe.
P
 
Back
Top Bottom