Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sijuani na hao Maboss ndugu yangu, hayo yalikuwa maoni yangu tuKwa maboss wa NSSF kusifia mlima wa fedha waliojikusanyia kwa fedha zetu Wanachama kwa kutumia myororo wa KIKOKOTOO
Niwie radhi kukukwaza Kwa maoni yangu