Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hapo uhakika, walau wastaafu hatutakufa Kwa Presha ya kuchelewesha mafao yetuAsante
Ni kweli, mafao ya wastaafu wa NSSF, yako salama kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo uhakika, walau wastaafu hatutakufa Kwa Presha ya kuchelewesha mafao yetuAsante
Ni kweli, mafao ya wastaafu wa NSSF, yako salama kabisa.
Waandishi wa habari wa kibongo mbatia aibu sana, yaani unasomewa taarifa nawe unairusha kwa walaji kishabiki, bila kuwa na thibitisho wa kilichosemwa! Hivi watanzania aliyetuloga alikufa kwa ajali au aliuawa na wasiojulikana?Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Sisi mababu tuliostaafu kabla ya mwaka 1990 pension sh 100,000.Niko hapa kwa ajili hiyo.
P
Naomba tuheshimianeYaani wewe unaweza kudai posho hadi msibani.maana akili yako unaijuwa Mwenyewe
😂 Ninakujua, ukishapewa chochote huwa unapamba mbaya.Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
Wacha tu Mkuu inasikitisha sana kumbe walindaa KIBUYU tuWaandishi wa habari wa kibongo mbatia aibu sana, yaani unasomewa taarifa nawe unairusha kwa walaji kishabiki, bila kuwa na thibitisho wa kilichosemwa! Hivi watanzania aliyetuloga alikufa kwa ajali au aliuawa na wasiojulikana?
Unapewa bahasha kwa kuwafanyia kazi gani! U apewa bahasha ili unogeshe habari inayowahusu kupitia chekeche lako. Ukikaribishwa kwenye cjakula cha wote kula ila usibebe.Mimi kwasababu ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, huwa sifuatilii kabisa mambo ya posho kwasababu mimi najitolea bure. Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
P
Hayo ni maziwa toka kwenye ng'ombe wasiopewa malisho sahihi, yaani wanakondeana huku mkamuaji ananenepeana.Hizo pesa zinawanufaishaje wachangiaji au zinachukuliwa na seriakali katika kusaidia miradi ya maendeleo.
Tunataka kujua miradi yao ya ubia iliyozimia je itafufuka tena!Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
ndani ya kipindi kifupi how? why kipindi kifupi kiwe mada?Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi,
Sawa sawaHongereni Kwa kikao Kiongozi,
Pili tumpongeze Mkurugenzi Mkuu wa huo mfuko kuweza kukuza Mfuko wake, hiyo ni dalili kwamba fedha za Wastaafu zipo salama.
Maoni yangu ni kuharakisha utoaji wa pension pamoja na fedha za wanufaika pasipo kuchelewesha.
Kuna watu wamefutwa kazi ama kuachishwa kazi hasa Sekta binafsi, lakini inachukua hadi miaka kuweza kupewa fedha zake za akiba.
Mwisho japo sio Kwa umuhimu, NSSF ipi ilikuwa bora kati ya hii ya Bwana Mshomba ama ile ya Dokta Dau?
Mkutano mwema
🙏🙏Sawa sawa
Ushapokea mlungula, unasambaza propaganda.Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Hapa umeweka tumbo mbeleMada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
Wanamdanganya nani? Mbona hawalipi wastaafu na waliocha kazi stahiki zao? Wewe paskali umekuwa chawa sana siku hizi na PPR yako.....Warudishe kama enzi za kikwete unaenda kuchukua tu mzigo wako anytime.Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Pole sana, ni wewe kutojua tuu, ikitokea hauna ajira, badala ya withdraw michango yako, omba fao la kukosa ajira, utalipwa 60% ya mshahara wako wa mwisho mpaka upate kazi, huku ile milioni 40 yako ukigeuka milioni 120!.
P