Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Waandishi wa habari wa kibongo mbatia aibu sana, yaani unasomewa taarifa nawe unairusha kwa walaji kishabiki, bila kuwa na thibitisho wa kilichosemwa! Hivi watanzania aliyetuloga alikufa kwa ajali au aliuawa na wasiojulikana?
 
Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
😂 Ninakujua, ukishapewa chochote huwa unapamba mbaya.
 
Waandishi wa habari wa kibongo mbatia aibu sana, yaani unasomewa taarifa nawe unairusha kwa walaji kishabiki, bila kuwa na thibitisho wa kilichosemwa! Hivi watanzania aliyetuloga alikufa kwa ajali au aliuawa na wasiojulikana?
Wacha tu Mkuu inasikitisha sana kumbe walindaa KIBUYU tu
 
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Tunataka kujua miradi yao ya ubia iliyozimia je itafufuka tena!
 
Hongereni Kwa kikao Kiongozi,

Pili tumpongeze Mkurugenzi Mkuu wa huo mfuko kuweza kukuza Mfuko wake, hiyo ni dalili kwamba fedha za Wastaafu zipo salama.

Maoni yangu ni kuharakisha utoaji wa pension pamoja na fedha za wanufaika pasipo kuchelewesha.

Kuna watu wamefutwa kazi ama kuachishwa kazi hasa Sekta binafsi, lakini inachukua hadi miaka kuweza kupewa fedha zake za akiba.

Mwisho japo sio Kwa umuhimu, NSSF ipi ilikuwa bora kati ya hii ya Bwana Mshomba ama ile ya Dokta Dau?

Mkutano mwema
Sawa sawa
 
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Ushapokea mlungula, unasambaza propaganda.
 
Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
Hapa umeweka tumbo mbele
 
Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.

Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.

Karibuni uandamane nami.

Paskali
Wanamdanganya nani? Mbona hawalipi wastaafu na waliocha kazi stahiki zao? Wewe paskali umekuwa chawa sana siku hizi na PPR yako.....Warudishe kama enzi za kikwete unaenda kuchukua tu mzigo wako anytime.
 
Pole sana, ni wewe kutojua tuu, ikitokea hauna ajira, badala ya withdraw michango yako, omba fao la kukosa ajira, utalipwa 60% ya mshahara wako wa mwisho mpaka upate kazi, huku ile milioni 40 yako ukigeuka milioni 120!.
P

Paskali acha upotoshaji ,ndiyo najua umelamba deal la kuwapa promo lakini uongee kwa facts...Watu wameumizwa na hizo sheria kandamizi za NSSF.......Mimi naijua NSSF vizuri ,hayo yote uliyosema ni UONGO mtupu.
 
Back
Top Bottom