Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mada ya huo mkutano ni kutisha kwa hizo 8t ama ni nini?Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Mimi kwasababu ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, huwa sifuatilii kabisa mambo ya posho kwasababu mimi najitolea bure. Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni RushwaMkuu posho wanatoa ngapi ngani kwa kila mwandishi leo? kimsingi ni kama nauli
Mada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.Mada ya huo mkutano ni kutisha kwa hizo 8t ama ni nini?
Nitakuulizia.Ukiwa private company na ukawa nssf..ukahama na kuhamia government...gov wanatumia psssf..
Kwanin zile pesa za nssf zisihamishiwe psssf badala yake unaambiwa usubiri ustaafu ndio upewe?
Waulize
Pole sana, ni wewe kutojua tuu, ikitokea hauna ajira, badala ya withdraw michango yako, omba fao la kukosa ajira, utalipwa 60% ya mshahara wako wa mwisho mpaka upate kazi, huku ile milioni 40 yako ukigeuka milioni 120!.Waambie NSSF sisi walimu wa private tunaomba tupewe fao la kujitoa,tunateseka mtaani hatuna kazi ,hatuajiriki Tena ata ukiajiriwa mshahara ni kidogo sana walimu wamejaa mitaani kama karanga.Nina miaka 50 kweli nife wakati pesa zangu zipo zaidi 40m
Sasa kitu gani kinatisha? Mfuko hauna pesa za kutosha kukidhi mafao huko mbeleni ?Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Unajikomba?Hongereni Kwa kikao Kiongozi,
Pili tumpongeze Mkurugenzi Mkuu wa huo mfuko kuweza kukuza Mfuko wake, hiyo ni dalili kwamba fedha za Wastaafu zipo salama.
Maoni yangu ni kuharakisha utoaji wa pension pamoja na fedha za wanufaika pasipo kuchelewesha.
Kuna watu wamefutwa kazi ama kuachishwa kazi hasa Sekta binafsi, lakini inachukua hadi miaka kuweza kupewa fedha zake za akiba.
Mwisho japo sio Kwa umuhimu, NSSF ipi ilikuwa bora kati ya hii ya Bwana Mshomba ama ile ya Dokta Dau?
Mkutano mwema 🙏