We jamaa akili yako inatatizo sasa unahisi mimi niwe na gubu na samata si nitakuwa mpumbavu wa mwisho. Mtu analipwa mara 100 zaidi yangu anakipaji mara 1000 zaidi yangu. Samata ni bora sana ila kwa kipindi cha kwanza amezingua sehemu nyingiAya endeleza magubu yako sijui unaangalia mechi ipi?
Ww ni mwe..h.u gubu linapimwa kwa level ya mshahara au suala la kisaikolojia?!We jamaa akili yako inatatizo sasa unahisi mimi niwe na gubu na samata si nitakuwa mpumbavu wa mwisho. Mtu analipwa mara 100 zaidi yangu anakipaji mara 1000 zaidi yangu. Samata ni bora sana ila kwa kipindi cha kwanza amezingua sehemu nyingi
Wakati mwingine utofautishe maoni na chuki
Covid protocols za fifa au ?mbona uwanja mweupe mno mpaka nashangaa
FIFA walizuia mashabiki.Covid protocols za fifa au ?
Nina wasiwasi, mpira hauujui au haufahamu kabisa.We jamaa akili yako inatatizo sasa unahisi mimi niwe na gubu na samata si nitakuwa mpumbavu wa mwisho. Mtu analipwa mara 100 zaidi yangu anakipaji mara 1000 zaidi yangu. Samata ni bora sana ila kwa kipindi cha kwanza amezingua sehemu nyingi
Wakati mwingine utofautishe maoni na chuki
Mwehu wewe unaye jaribu kulazimisha kitu ambacho hakipo mchezaji anaweza kuwa mzuri lakini akizingua baadhi ya mechi mbona imetokea mara nyingi kwa firmino, Pogba na wachezaji wengine wengi kwani samata ni Mungu yeye ukisema iwe nongwa?Ww ni mwe..h.u gubu linapimwa kwa level ya mshahara au suala la kisaikolojia?!
Umeongea pointBaada ya muda mrwfu kuwa sitizami game za stars, leo nimetizama timu yangu ya taifa..
Nilichojifunza..
Mosi, si kweli kuwa samata hajitumi national team, jamaa anaipenda timu yake uchawi anaocheza nao, tizama kipindi cha pili kwanza alicheza kama winga wa kushoto, jitihada zake na mchango wake alionekana kama amejitolea sababu mipira mingi ilikuwa inamfikia, ila kipindi cha pili baada yya sub akaenda kucheza CF, mipira haimfikii, akawa anaonekana hana analolifanya uwanjani(huyu ndio samatta anaelalamikiwa na wa tz)
Pili, safu yetu ya viungo bado, kwa game ya leo wangekuwa na mipango mizuri, (akili yaa kushambulia) tungepata zaidi na wao wasingepata, mudathir na mzamiru wana matatizo ya kupoteza mipira, wanapiga pasi nyingi fyongo, na hata ambazo ni sahihi zinakuwa hazina madhara wakati ambao inahitajika pasi yenye madhara.
Tatu.. Kibabage hazina ya baadae, fei toto afanye michakato asoge mbele yule lusajo anaweza luwa striker mzuri kuna vitu anapungukiwa, huyu dismas hazina ya baadae.. Taifa kama taifa hatuna kiungo mshambuliaji maridhawa.
Akiwa ndani wachezaji wengi hawajiaminiHivi kwani Samatta makosa yake ni yepi hasa leo mbona anashambuliwa sana.
Wakuu naomb mnieleweshe hapa, hivi tunatakiwa tuwe nafasi ipi ili twende level nyingine hadi kufikia kushiriki world cup na hizo levels/stages ni zipi hadi kufika hapo??
Pancho, pancho pancho, nakuita kama marehemu omari omari alivyoita kwenye ngoma yake kupata Ni majaaliwa.Novatus dismas ni kipaji kikubwa sana.
Inabidi azam wamrudishe nyumbani.
Jinsi alivyokuwa anatafuta space na kusambaza mipira utadhani transformer ya tanesco..! What a player.! Again with feisal watakuja kutuletea combination hatari sana..
Team yetu imeimprove sana kuliko kipindi cha amunike ambapo tulikuwa tunacheza hovyo na kubutua.
Mwamnyeto na nyoni ni combination nzuri japo nyoni anazidiwa kasi sometime..
Ningependekeza mwamnyeto na job wajaribiwe japo simpangii kocha wetu na wala sijui lolote kuhusu soka kuliko yeye..
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]