Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamagana Mwanza Uchaguzi wa Madiwani kata ya Mkuyuni na Iyombo umeahirishwa . . . . : ITV
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).
Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
Igoma Mwanza:
Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg
Zephania Ubwani, Arusha
MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya daftari la wapiga kura lenye karatasi 400 kupotea katika kituo anachokisimamia.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Basilio Matei alisema kuwa msimamizi anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na upotevu huo.
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Estomih Chang'a alisema kuwa atatoa tamko baadaye, ingawa msimamizi huyo aliendelea kuwekwa rumande kihojiwa.
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
Mkuu Superman, do the neeedful once more - mwambie Invisible aunganishe hizi threads ili na wewe upumzike kuchomoa posts huko unapozitoa! Tupo excited kichizi na kwa styke hii tutamiss baadhi ya habari muhimu mkuu!
Kuna uwezekano wa KUZUIA watu kuanzisha THREADS MPYA!??
Joyce Kiria haya sasa kumekucha ktk majimbo yafuatayo, Arusha mjini, kijana Lema ameshinda, Hai Mbowe anaongoza, kawe Halima Mdee, ubungo Mnyika, wote ni chadema ubunge....
Mercy Nnko Is it true Joy? Thx God.36 minutes ago · LikeUnlike
Emmanuel Alphonce Good newz!36 minutes ago · LikeUnlike
Msaki Next-level Ucsahau na eneo jimbo segerea,chadema juu so far! Vivaaaaa35 minutes ago · LikeUnlike
Prudence Teweli safii sisy35 minutes ago · LikeUnlike
Stunner Don Napacho Yeah..mpango mzimah33 minutes ago · LikeUnlike
Godlisten Shayo Jamani ya ukweli hayo.33 minutes ago · LikeUnlike
Nicholaus Tumain anaye mpnga dr ulinzi joy32 minutes ago · LikeUnlike
Frank Tairo Braaaaah32 minutes ago · LikeUnlike
Eric Solomon arusha tumeshangaa....31 minutes ago · LikeUnlike
Aaron Ringo safi sana Joy, hapa Mwanza kijana Wenje wa CHADEMA nae anaongoza kwenye jimbo la Nyamagana kamwacha Masha ila bado kuna vituo vichache tu vimebaki kutangaza matokeo.30 minutes ago · UnlikeLike · 3 peopleLoading...
Alfan Mlali Wera weraaaaaaaa!26 minutes ago · LikeUnlike
Simon Millanzi Weraaaaaaaaaaaaaaa!!!!!26 minutes ago · LikeUnlike
Jesca George ‎@Erick kwa nini mmeshangaa? Hakuna linaloshindika ni uamuzi tu! CHADEMA WERAAA hadi vijijinh!!!15 minutes ago · LikeUnlike
Amir Mhunzi Jaman nyie w2 mtaniua kw furaha yan!JOYCE ntafutie Kwa ZITO na NDESAMBURO mambo yakoje!mana najua huko nako kw2 kabsa yan!15 minutes ago · LikeUnlike
Jfsonic Xpertz safi hiyo, wasiwasi wangu wazee wa kuchakachua tu. Wakiona mambo magumu.13 minutes ago · LikeUnlike
Chriss Zait Hureeè!13 minutes ago · LikeUnlike
Sanjas Manuel CHADEMA! CHADEMA! CCM, 2meichinjia ziwa Victoria......raha 2pu huku4 minutes ago · LikeUnlike
Consolata Olotu Thx God..Chadema 2po juuu! Mungu twahitaji msaada wako!3 minutes ago · LikeUnlike
Jesca George Hureeeee! VIVA CHADEMA, WOYEEE 3 minutes ago · LikeUnlike
Kelvin Tito Chadema iko juu banaa, mnyika juu, slaa juu.3 minutes ago · LikeUnlike
Joseph Kivuruga People..? Jimbo la Iringa mjini mchungaj Msigwa wa chadema anakimbiza mbaya.2 minutes ago · LikeMatokeo ya awali: UDSM
Urais:
CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3
Ubunge:
CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6
Matokeo biharamulo (mavota village)
Urais
ccm 376
chadema 341
cuf 13
ubunge
ccm 396
chadema 322
cuf 10
udiwani
ccm 315
chadema 474
cuf 0