Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Matokeo ya awali: UDSM
Urais:

CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3

Ubunge:

CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6
 
zanzibar presidential results

1) kituo cha bwawani-unguja

maalaim seif shariff cuf 593
dr shein ccm 141

jimbo la chake chake-pemba
kituo cha michakaini
maalim seif cuf 956
dr. Shein ccm 246.
kituo cha ngwachani
maalim 623,
shein 132.​


cuf 80.7%
ccm 19.3%
 
Maalim Seif anachukua Nchi Zenji . . . . .

SAWA SAWA?

I can agree with you that, CCM watakachofanya ni kumpa Seif Zenji na bara kuchakachua ili kutoa sura kamili kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.
 
Jamani mambo si shwari huko zanzibar kwa munir zakaria, mjumbe wa ccm kapandisha mashetani... Habari kamili baadae chanel ten
 
Zanzibar Presidential Results

1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif Shariff CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim 623,
Shein 132.​


UNGUJA??? yiiiiiiiiiiiiiiiiiipe!

Yaani nipo excited kinoma mwanawane. UKOMBOZI unafika.........finally!
 
Habari kutoka Mbeya:

Jamani jamaa angu ambae yuko huko Kwa mzee SUGU, Mpinzani wake kalazwa PRESURE imeteremka bila speeed Govarnor, mwenye habari kamili jamani amwage hapa.....
 
I can agree with you that, CCM watakachofanya ni kumpa Seif Zenji na bara kuchakachua ili kutoa sura kamili kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

WATACHAKACHUA kivipi mkuu? imekula kwao. Kama wakilemaa matokeo yote yakawa yanajumlishwa vituoni na watu wanayapeperusha, ndo intakuwa imetoka.

Unajua hata wale waliokuwa na shauku ya kumchagua JK, walipoteza matumaini baada ya kwenda kujidhalilisha ITV

Sijui kwa nini Makamba na Kinana hawakustick kwenye formation yao ya mwanzo (1-10-0) - ya kukwepa MIDAHALO!!
 
Vijana wamenijulisha kuwa katika kituo changu cha kupigia kura wako wengi kwa mbali wakilinda kura huku defender ziki-patrol
 
Mwingine kafika kituoni anaonekana kwamba ni MAREHEMU!!!! NEC na vituko vyao

Unajua tunahitaji kuwa na Tume huru, haya mambo ya kufanya kazi kwa maagizo ya kina Makamba ndiyo hivi sasa. Kulikuwa na haja gani ya kubandika majina 24 October kama uandikisha uliisha June?. Walitakiwa kubandika majina yote na kuweka kitabu wazi kwa watu kuhakiki na kufanya marekebisho siku ya kwanza ya kampeni.

Ila kwa kuwa wana GHOST voters wengi walionelea namba yao ya watu 19M ingebainika maana ingetoa muda wa kutosha kwa wapinzani kulihakiki daftari lote. Ona sasa wanavyoboronga, halafu watajitetea kuwa demokrasia changa £$%$$%%$$££ zao
 
Kutoka Mbeya inaripotiwa:


Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni

Kituo A
chadema 140,
ccm 33,

Kituo B
chadema 115,
ccm 15.

Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.

Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.
 
Hii ya Mbeya, Block T nadhani ni Mwanjelwa!

Hakika haya ni mapinduzi!
 
Back
Top Bottom