Nyamagana Mwanza Uchaguzi wa Madiwani kata ya Mkuyuni na Iyombo umeahirishwa . . . . : ITV
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).
Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
Igoma Mwanza:
Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg
Zephania Ubwani, Arusha
MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya daftari la wapiga kura lenye karatasi 400 kupotea katika kituo anachokisimamia.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Basilio Matei alisema kuwa msimamizi anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na upotevu huo.
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Estomih Chang'a alisema kuwa atatoa tamko baadaye, ingawa msimamizi huyo aliendelea kuwekwa rumande kihojiwa.
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
Mkuu Superman, do the neeedful once more - mwambie Invisible aunganishe hizi threads ili na wewe upumzike kuchomoa posts huko unapozitoa! Tupo excited kichizi na kwa styke hii tutamiss baadhi ya habari muhimu mkuu!
Kuna uwezekano wa KUZUIA watu kuanzisha THREADS MPYA!??
Matokeo ya awali: UDSM
Urais:
CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3
Ubunge:
CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6
Matokeo biharamulo (mavota village)
Urais
ccm 376
chadema 341
cuf 13
ubunge
ccm 396
chadema 322
cuf 10
udiwani
ccm 315
chadema 474
cuf 0