Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Mwananchi mmoja pale Manzese Uzuri akionekana kwenye ITV amedai kuwa kuna gari Escudo nyekundu isiyotambilika shughuli maalumu ilionekana kwenye hicho kituo ikiwa na mifuniko lakini hao wananchi waliizuia kuingia kwenye kituo hicho ili kura zao zisichakachuliwe.
 
Channel 10 Kulikoni?

CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem wameshawapiga stop?
 
Lwaitama anaongea ITV..kwamba uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa ni Tsunami!!!
 
Kahama nako:


nimeongea na mtu wangu wa ukweli kaniambia chadema kahama imefanya vizuri mno!!! kata zote. unakuta chadema 200, ccm 20 au 15, huo ndio uwiano. hureeee!!!
 
Thanks Sperman
Thanks Dark City

You have done wounderful Job till now. Stay blessed wakuu na Hongera sana JF nzima.
 
Finally, nimeamini Chanel ten ni ya CCM, wameonyesha maeneo ambayo CCM wanaongoza, napata updates za ITV
 
Lusajo anaripoti:

Matokeo Vituo vya Utawala - UDSM

Vituo Sita (6) vya Utawala:

URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119

UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103​

 
Hii nimepata kwa mdauwangu mmoja toka Ngara kituo cha TRA
Urais: Slaa 66
Kikwete 50
Wengine kimya, simu ilikuwa inakatika katika ya ubunge atan2mia kwa sms!
 
Lusajo anaripoti:

Matokeo Vituo vya Utawala - UDSM

Vituo Sita (6) vya Utawala:

URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119

UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103​


Mkuu haya matokeo ni kama hayaaminiki vile...Nadhani itabidi wampelekee Shekh Yahya ayahariri kwanza...JK anahitaji medical attention ya haraka sana. Ikibidi apelekwe ICU haraka.
 
Lusajo anaripoti:

Matokeo Vituo vya Utawala - UDSM

Vituo Sita (6) vya Utawala:

URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119

UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103​


Hayo ndio mambo!!!Pole kwa kazi yakuturushia habari SuperMan
 
Hii nimepata kwa mdauwangu mmoja toka Ngara kituo cha TRA
Urais: Slaa 66
Kikwete 50
Wengine kimya, simu ilikuwa inakatika katika ya ubunge atan2mia kwa sms!

Asante Mkuu!
 
Sina hakika kama hii imeshatundikwa hapa,

Songea Majengo

Urais

CCM - 86
CHADEMA - 121
CUF - 7
APPT - 2

Ubunge

CCM - 69
CHADEMA - 124

Udiwani

CCM - 71
CHADEMA - 121

Songea Mfaranyaki

Urais

CCM - 62
CHADEMA - 80

Ubunge

CCM - 59
CHADEMA - 83

Udiwani

CCM - 63
CHADEMA - 78

Source Channel 10
 
Inawezekana yupo ICU tayari! Nadhani inabidi USALAMA WA TAIFA waanze kumlinda Dr. Slaa with immediate effect!

Mkuu, hii hali ni very emotional...Ngoja tusubiri subiri kidogo! But JK must be in big shock!!

Makamba sijui kama hajakimbilia kwenye handaki.
 
Mgerezi anaripoti:

Matokeo ya awali toka Songea

Songea Majengo

Urais

CCM - 86
CHADEMA - 121
CUF - 7
APPT - 2

Ubunge

CCM - 69
CHADEMA - 124

Udiwani

CCM - 71
CHADEMA - 121

Songea Mfaranyaki

Urais

CCM - 62
CHADEMA - 80

Ubunge

CCM - 59
CHADEMA - 83

Udiwani

CCM - 63
CHADEMA - 78

Source Channel 10​

 
Lusajo anaripoti:

Matokeo Vituo vya Utawala - UDSM

Vituo Sita (6) vya Utawala:

URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119

UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103​

Safi sana wasomi hawajatuangusha.
 
Back
Top Bottom