Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Asante kwa watu wa Nkindo.Bukoba Vijijini:
Bukoba vijijini
Kituo Nkindo
Chadema 188
CCM 144
CUF 1
Udiwani
Chadema 169
CCM 68
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa watu wa Nkindo.Bukoba Vijijini:
Bukoba vijijini
Kituo Nkindo
Chadema 188
CCM 144
CUF 1
Udiwani
Chadema 169
CCM 68
msaranambo said:Kwa upande wa Ubunge kwa majimbo ya Mbozi Mashariki na Magharibi Chadema wanaongoza kwa kura za Ubunge pamoja na udiwani......nitaweka idadi kadri nitakavyozipata
Hayo ndio mambo!!!Pole kwa kazi yakuturushia habari SuperMan
Mkimbizi said:Vituo vya mapambano na zahanati-kifuma, Sinza CHADEMA inaongoza ktk ngazi zote kwa tofauti kuanzia 17-35 kura. Zaidi bdae
Wakuu, Mwanza mambo safi IGOMA Masha ameanguka sana Kata nzima amepata kura 8, Wanje amefunika ile mbaya Kata ya IGOMA. Pongezi kubwa Usimamizi na organisation ilikuwa nzuri hasa chini ya Mh. M Marando aliyeamua kwa nia moja kusaidia zoezi zima la ku-organize usimamizi.wakura jijini Mwaza
Kahama mambo mazuri ila nitakuja moda si mrefu na full report in-terms of vote numbers
Superman kuwa mwangalifu na watu wanatupa tupa matokeo hovyo hapa jf, yasije kuwa mamluki wa kijani wanataka kutuchanganya! We need to verify history ya post za huyo mtu kupata credibility kama kweli ni mpenda mabadiliko au status quo
Campanero said:KURA ZA URAIS:
CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373
KURA ZA UBUNGE:
CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275
KURA ZA UDIWANI:
CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343
*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI
Nimekusoma Mkuu.
Ni vema tuchukulie matokeo yote ya hapa kama "Unofficial" maana hayajahakikiwa bado!
Tuko pamoja.
Kipanga ampiga mkoloni said:Manzese = Chadema - CCM Chali
Tandale = CUF - Retained
Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained
Mwananyamala = CUF - CCM Chali.
Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
Fuatilia ndugu yangu tupate habari nzuri kutoka huko nyumbani.Kuna unofficial nimeipata toka Nshamba kwa upande wa urais Slaa elfumoja miatano na kitu na Kikwete ni mia sita na kitu, network haikuwa nzuri ilkikuwa inakatikakatika nimemwambia anitumie kwa sms.
Kwa Jimbo la biharamulo magharibi kulingana na matokeo yaloreportiwa na redio Kwizera fm (NGARA) ni kuwa Kijiji cha kakonko, Slaa anaongoza na mbunge kupitia Chadema(DR Mbassah anaongoza pia) Data sikupata manake walonitumia ni kama walikuwa juu ya mti (NETWORK) na huyu kanambia kuwa sms zimegoma kwenda. BUT haya yote ni unofficial!
Dar haswa uswahilini mwananyamala,buguruni,tabata wanatuangusha wana mageuzi