Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Msaragambo anatupasha:

Mbozi Mashariki na Magharibi CHADEMA wanaongoza

Kwa upande wa Ubunge kwa majimbo ya Mbozi Mashariki na Magharibi Chadema wanaongoza kwa kura za Ubunge pamoja na udiwani......nitaweka idadi kadri nitakavyozipata
 
Kutoka mbeya

msaranambo said:
Kwa upande wa Ubunge kwa majimbo ya Mbozi Mashariki na Magharibi Chadema wanaongoza kwa kura za Ubunge pamoja na udiwani......nitaweka idadi kadri nitakavyozipata
 
Superman kuwa mwangalifu na watu wanatupa tupa matokeo hovyo hapa jf, yasije kuwa mamluki wa kijani wanataka kutuchanganya! We need to verify history ya post za huyo mtu kupata credibility kama kweli ni mpenda mabadiliko au status quo
 
Wakuu, Mwanza mambo safi IGOMA Masha ameanguka sana Kata nzima amepata kura 8, Wanje amefunika ile mbaya Kata ya IGOMA. Pongezi kubwa Usimamizi na organisation ilikuwa nzuri hasa chini ya Mh. M Marando aliyeamua kwa nia moja kusaidia zoezi zima la ku-organize usimamizi.wakura jijini Mwaza

Kahama mambo mazuri ila nitakuja moda si mrefu na full report in-terms of vote numbers
 
Dar haswa uswahilini mwananyamala,buguruni,tabata wanatuangusha wana mageuzi
 
Manyusi anatupatasha:

CCM hali mbaya Shinyanga

Habari toka chanzo cha kuaminika shinyanga mjini CCM ina hali mbaya,Geita Chadema iko safi,Maswa Chadema safi​

Kutoka Sinza

Mkimbizi said:
Vituo vya mapambano na zahanati-kifuma, Sinza CHADEMA inaongoza ktk ngazi zote kwa tofauti kuanzia 17-35 kura. Zaidi bdae
 
Wakuu, Mwanza mambo safi IGOMA Masha ameanguka sana Kata nzima amepata kura 8, Wanje amefunika ile mbaya Kata ya IGOMA. Pongezi kubwa Usimamizi na organisation ilikuwa nzuri hasa chini ya Mh. M Marando aliyeamua kwa nia moja kusaidia zoezi zima la ku-organize usimamizi.wakura jijini Mwaza

Kahama mambo mazuri ila nitakuja moda si mrefu na full report in-terms of vote numbers

Asante Mkuu.

Endelea kutupasha
 
Superman kuwa mwangalifu na watu wanatupa tupa matokeo hovyo hapa jf, yasije kuwa mamluki wa kijani wanataka kutuchanganya! We need to verify history ya post za huyo mtu kupata credibility kama kweli ni mpenda mabadiliko au status quo

Nimekusoma Mkuu.

Ni vema tuchukulie matokeo yote ya hapa kama "Unofficial" maana hayajahakikiwa bado!

Tuko pamoja.
 
Kutoka Sinza

Campanero said:
KURA ZA URAIS:

CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373

KURA ZA UBUNGE:

CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275

KURA ZA UDIWANI:

CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343

*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI
 
So far so good, big up sana Superman thanx alot 4 doin what u are doin, nipo na wewe tangu jana unajiandaa na hii shughuli na mpaka unaamka na kuwahi kupiga kura na mpaka sasa upo unajituma, inatia moyo sana, mimi hapa nipo najaza jedwali langu taratibu tu na jinsi matokeo yanavyokuja na mpaka sasa kwa matokeo yote yaliopitia hapa kwako ni kwamba Dr Slaa ana 7274 na JK ana 3850. Bia inashuka kiulaini kama kumsukuma mlevi.
na hizo za sinza DR Slaa-7808, na JK-4223. twende kazi.
 
Nimekusoma Mkuu.

Ni vema tuchukulie matokeo yote ya hapa kama "Unofficial" maana hayajahakikiwa bado!

Tuko pamoja.

Kweli mkuu haya matokeo hayawezi kuwa officia. Kwa hiyo kila mtu anatakiwa kuyachuja kwa uelewa wake. Pia anaweza mwenyewe kufuatilia ili akahakikishe.
 
Habari zinasema bado hali ni tete katika vituo mbalimbali vya jimbo la Ubungo kwani hapo Sinza Vatican matokeo hayajabandikwa na wananchi wanashinikiza yabandikwe na polisi wanatisha wananchi.
 
Kuna unofficial nimeipata toka Nshamba kwa upande wa urais Slaa elfumoja miatano na kitu na Kikwete ni mia sita na kitu, network haikuwa nzuri ilkikuwa inakatikakatika nimemwambia anitumie kwa sms.
Kwa Jimbo la biharamulo magharibi kulingana na matokeo yaloreportiwa na redio Kwizera fm (NGARA) ni kuwa Kijiji cha kakonko, Slaa anaongoza na mbunge kupitia Chadema(DR Mbassah anaongoza pia) Data sikupata manake walonitumia ni kama walikuwa juu ya mti (NETWORK) na huyu kanambia kuwa sms zimegoma kwenda. BUT haya yote ni unofficial!
 
Hiyo ni kutoka Dar tena,

Kipanga ampiga mkoloni said:
Manzese = Chadema - CCM Chali

Tandale = CUF - Retained

Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained

Mwananyamala = CUF - CCM Chali.

Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
 
Kibanga ampiga Mkoloni anaripoti:

Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala
Manzese = Chadema - CCM Chali

Tandale = CUF - Retained

Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained

Mwananyamala = CUF - CCM Chali.

Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
 
Kuna unofficial nimeipata toka Nshamba kwa upande wa urais Slaa elfumoja miatano na kitu na Kikwete ni mia sita na kitu, network haikuwa nzuri ilkikuwa inakatikakatika nimemwambia anitumie kwa sms.
Kwa Jimbo la biharamulo magharibi kulingana na matokeo yaloreportiwa na redio Kwizera fm (NGARA) ni kuwa Kijiji cha kakonko, Slaa anaongoza na mbunge kupitia Chadema(DR Mbassah anaongoza pia) Data sikupata manake walonitumia ni kama walikuwa juu ya mti (NETWORK) na huyu kanambia kuwa sms zimegoma kwenda. BUT haya yote ni unofficial!
Fuatilia ndugu yangu tupate habari nzuri kutoka huko nyumbani.
 
Back
Top Bottom