Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Katika vituo vyote vya ITV Dr. Slaa ameongoza kwa kati ya kura 15 na 20. Hii ni pamoja na udiwani na ubunge.Kuna matokeo ya vituo vya ITV yametangazwa sasa hivi. Sikuweza kuchukua tarakamu ila inaonekana kwamba CHADEMA wamepiga bao.