Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi wa kata ya malinyi wamemchagua ndg said tira kuwa diwani wao, kura zilizo mpa ushindi diwani mteule tira zimetoa taswira na ishara kuwa mgombea ubunge wa chadema prof. Mlambiti anayo nafasi ya kumshinda tabibu haji mponda wa ccm. Mpaka sasa prof. Mlambiti amepata kura 70% ktk tarafa za malinyi na ngoheranga. Wagombea wote wawili wanatokea tarafa ya mtimbira na wote ni wapogoro, kazi hapa iko kwa ccm sasa kuchakachua itete,lupiro na mtimbira kwenyewe maana malinyi wao wameiunga mkono chadema.
IY na DC na wakuu wengine;
Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Naomba ruksa sasa niwaache nipate kupumzika kidogo.
Kila la heri:
Manyusi said:Hali ya usalama ni tata watu wanalinda kura zao
TGS D said:Habari za uhakika ni kwamba chadema wamechukua kilombero. Hongera mh. Regia Mtema.
Change is real!
Haina mbaya mzee, Unastahili pole kwa kazi nzuri uliyoifanya Big up Mwanawane!!!!IY na DC na wakuu wengine;
Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Naomba ruksa sasa niwaache nipate kupumzika kidogo.
Kila la heri:
Fisadi Original said:Habari za kuaminika toka Rombo ni kwamba, Basil Mramba is out....................
Asante sana mkuu na pongezi sana kutoka huku Ughaibuni mungu awe nawe. Tunaomba hayo mabadiliko yawe kwetu Watz. Usiku mwema mkuuIY na DC na wakuu wengine;
Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Naomba ruksa sasa niwaache nipate kupumzika kidogo.
Kila la heri:
Kata ya Majengo, Tanga.
CCM = Zaidi ya 1,000
CUF = 970
CHADEMA = 150
Naombeni ruhusa nipumzike nimechoka dunia nzima. Nikistuka 9t kali narudi tena. Alamsiki!
Brooklyn said:wadau matokeo iringa mjini kata zote yameshatangazwa: Ccm wameshinda kata 2 na chadema wameshinda kata 14. Jimbo lina kata 16. Source: Star TV
Rwabugiri said:raisi
CHADEMA 100
CCM 68
CUF 1
HARIBIKA 4
UBUNGE
CHADEMA 102
CCM 55
NCCR 7
CUF 1
UDP 1
APPT 1
HARIBIKA 3
DIWANI
CHADEMA 98
CCM 61
CUF 4
NCCR 2
MBOVU 5
Jeykeiwaukweli said:Habari nilizozipata sasa hivi
CCM 89%
CUF 8%
Chadema 3%
nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine
Wapo wapi Malaria Sugu, Maggid na Zawadi Ng'ombe!?
Najua wapo hapa wanatumia IDs mpya!