Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida kama ilivyotarajiwa CCM wanaongoza, habari si nzuri kwa mpiganaji Tundu Lisu....
Singida kama ilivyotarajiwa CCM wanaongoza, habari si nzuri kwa mpiganaji Tundu Lisu....
amepanda mbegu.....ni mpiganaji imara,Inajulikaana kuwa SINGIDA ...ccm Imejikita na upinzani ndio kwanza unaingia huko.....taratibu...wazee tutafika.....vyovyote itakavyokuwa tumpe hongera askari wa miguu Lissu...
Kweli mkuu..Tanzania na hata Singida ya baada ya Tarehe 31/10/2010 haitabaki ile ile...!
MwanaCBE said:RAIS- CHADEMA 111, CCM 86, CUF 1. BUNGE- CHAD 104, CCM 90, CUF 4, UPDP 3. DIWANI- CHAD 118, CCM 81. Hii ni suprise kubwa hapa kwa CCM ndugu zangu.
Wakuu mbona Zanzibar hakuna newz kabisa kulikoni huko CUF vip,!!!!!!!!! AU uchakachuzi bado unatake place?
Jeykaywaukweli said:Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema
Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+
Nitaendelea kuwajuza
Mtokajasho said:Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.
Mkazuzu said:Matokeo ukonga ofisi ya kata
URAIS
CHADEMA-101
CCM-63
CUF-29
Mkuu Dark City naona JK waukweli ameamua leo. Ha h ah haaaaa! safi sana mzee nimekusoma Dark City tupo pamoja mzee.
nadhani sasa JK atakubali kuwa JAMII FORUMS ni moto wa kuotea mbali.......na siyo kama alivyotubeza........damn...................wanaJF mpaka sasa.........ninawapongeza sana sana..........you fought a very good FIGHT.....................