Singida kama ilivyotarajiwa CCM wanaongoza, habari si nzuri kwa mpiganaji Tundu Lisu....
really sad news.............anyway kwenye vita lazima majeruhi wawepo.............keep it up wanaharakati wa JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida kama ilivyotarajiwa CCM wanaongoza, habari si nzuri kwa mpiganaji Tundu Lisu....
Naam, Habarti ndiyo hiyo mzarau mwiba mguu huota tende. Washauri wake walimlaghai
Mkulima said:Kondoa Kaskazini
Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa 112
Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55
nadhani sasa JK atakubali kuwa JAMII FORUMS ni moto wa kuotea mbali.......na siyo kama alivyotubeza........damn...................wanaJF mpaka sasa.........ninawapongeza sana sana..........you fought a very good FIGHT.....................
Buntugbro said:Bariadi, Kahama, Maswa, Musoma Mjini, Ubungo Tayari CHADEMA
Habari zilizothibitishwa mpaka sasa hayo majimbo tayari CCM chali...
Kasulu na Kibondo muhimu wazee, mwenye info plz!!!! Halafu anybreking newz toka MOSHI ni muhimu sana kujua final
Majimbo ya CHADEMA so far..´?? Waiting for confirmation and more..
1.Iringa Mjini,
2. Rombo (kwa fisadi mramba),
3. Nyamagana
4. Kasulu?
5. Karatu
6. Shinyanga mjini?
5. Ubungo
7. Kahama
8. Mbeya Mjini (Sugu)
9. Musoma Mjini
10. Kawe
11. Arusha Mjini
12. Songea
13. Maswa?
Majimbo ya CHADEMA so far..´?? Waiting for confirmation and more..
1.Iringa Mjini,
2. Rombo (kwa fisadi mramba),
3. Nyamagana
4. Kasulu?
5. Karatu
6. Shinyanga mjini?
5. Ubungo
7. Kahama
8. Mbeya Mjini (Sugu)
9. Musoma Mjini
10. Kawe
11. Arusha Mjini
12. Songea
13. Maswa?
Habari nilizozipata kutoka kwa mtu wangu karibu kutoka Songea ni kuwa Komba chali, habari zaidi nitazimwaga hapa
Kazi nzuri mzee, Ila sijakusoma hapo kwenye hizo BOLD mbona zimeambatana na viulizo?
Du!, Mkuu hapo si Bibi kavunja sheria? Askari walimwacha?
Kituo cha Nkuza: Kwa Mathias (Pwani)
Urais
CCM = 502
CHADEMA = 311
Ubunge.
CCM = 63
CHADEMA = 100
Kituo cha Mkoani
Urais.
CCM = 101
CHADEMA = 90
CUF = 1
Ubunge
CCM = 82
CHADEMA = 107
CUF = 2