Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Manispaa ya Iringa CHADEMA wanaongoza katika ngazi zote
Source: ITV
Source: ITV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manispaa ya Iringa CHADEMA wanaongoza katika ngazi zote
Source: ITV
MwanaCBE said:Mpaka sasa Moshi mjini Ndesambulo kata 18 kati ya 21. Sourse Star TV.
Zitto Kabwe
![]()
Search Zittos Blog
Search for:
Twitter Updates @zittokabwe
- @BongoRadio yes 16 minutes ago
- So far I am leading in 9 out of eleven wards. Ushindi haukwepeki, twataka jua margin tu 31 minutes ago
zitto, any news from Ubungo, Tarime, Lissu, Sugu, Mdee, Komu, ?
Wihanzi said:Habari zilizothibitishwa ni kwamba katika manaspaa ya Moshi CHADEMA wamefanikiwa kutwaa vitii 18 vya udiwani dhidi ya viti 3 vya CCM. Hivyo kuwapa nafasi kuunda halmashauri ya manispaa.
katika matokeo ya Vunjo mrema lyatonga Augustine anaongoza na pia jiombo la Rombo Selasini wa Chadema anaongoza kwa margin ndogo sana
SORCE: Report ya star TV
Hata iweje, nitaprint hii na kuiframe... wasomi ni tofauti na wasio wasomiLusajo anaripoti:
Matokeo Vituo vya Utawala - UDSM
Vituo Sita (6) vya Utawala:
URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119
UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103
...na pia jimbo la Rombo Selasini wa Chadema anaongoza kwa margin ndogo sana. SOURCE: Report ya star TV Hii ni taarifa ya mdau.
Hili lilitegemewa sana, na kama kuna mtu anafuatilia siasa za kule... kuna udini wa kutisha.... yani hawataki hata kusikia john au peter... kuna kijana mmoja very effective walimchakachua simply because he was christianKondoa Kaskazini hiyo...
Kuna mdau alitoa confirmed report kwamba Mramba Chali. Sasa inakuwaje??
Nafikiri inabidi tuwe tuangalia na muda ambao taarifa hizi zimetoka maana unaweza ukaona taaria kwako ikawa mpya lakini kumbe ilikuwa hewani toka majira ya saa tatu.
Siyo kila unachikiona kwa mara ya kwanza ni kipya. Wadau tuhabarishane updates. Consultant, Dark City, Indume yene na wengine vip!!!!! Tupo pamoja wazee