Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Zanzibar vipi tena huko? nilijua cuf wanachukua urais naona kw ahesabu zenu hapo sijui kama watafanikiwa au bado ?

Hapana mkuu,

Ukijumlisha hizo kura, utaona kuwa CUF wamepata tayari zaidi ya 30% hapo Unguja. Kwa kuwa kule Pemba haiwezi kupata hata 20% ndo maana tayari CCM imeshalizwa...
 
Udiwani Lindi yako tayari na anatafutwa msimamizi kuleta matokeo hewani!
 
Masha, Batilda, Mramba, Mkuchika maji ya shingo

MWENENDO wa matokeo ya awali yaliyokuwa yakikusanywa hadi jana usiku yameonyesha kuwa vigogo takribani wagombea 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana hali ngumu.Taarifa zilizokusanywa na Mwananchi katika majimbo mbalimbali zinaonyesha kuwa Philip Marmo (Mbulu), Lawrance Masha (Nyamagana), Dk Batilda Buriani (Arusha Mjini), Kapteni George Mkuchika (Newala) na Basil Mramba(Rombo)hali zao ni ngumu katika uchaguzi huu.

Source: Gazeti la Mwananchi (today)
 
Mkuu nawashukuru sana kwa kampani...tutaonana asubuhi..Ngoja nipashe joto kitanda kidogo and will be back soon.
 
Mbeya Mjini.
Ngazi ya udiwani.
CCM imeshinda kata 20
CHADEMA imeshinda kata 14
NCCR imeshinda kata 2.
 
Mkuu nawashukuru sana kwa kampani...tutaonana asubuhi..Ngoja nipashe joto kitanda kidogo and will be back soon.
Unastahili pongezi mkuu, Hongera kwa kazi nzuri uliyoifanya ni haki yako kupumzika sasa. See u in the morning
 
Mkuu nimerudi pongezi nakupa maana naona upo full Charge. Big up Indume Yene

Nashukuru mkuu.
Hii siku niliisubiri sana, sikuwahi kuona ukombozi wa Tanzania kwa mamcho yangu. Wakati wa Uhuru hata mdingi wangu alikuwa hajamjua maza.
Ukombozi wa sasa naushuhudia mwenyewe.
Niko FULL CHARGED, trust me...ukombozi umefika.
 
Masha, Batilda, Mramba, Mkuchika maji ya shingo

MWENENDO wa matokeo ya awali yaliyokuwa yakikusanywa hadi jana usiku yameonyesha kuwa vigogo takribani wagombea 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana hali ngumu.Taarifa zilizokusanywa na Mwananchi katika majimbo mbalimbali zinaonyesha kuwa Philip Marmo (Mbulu)[/B], Lawrance Masha (Nyamagana), Dk Batilda Buriani (Arusha Mjini), Kapteni George Mkuchika (Newala) na Basil Mramba(Rombo)hali zao ni ngumu katika uchaguzi huu.

Source: Gazeti la Mwananchi (today)

Nimeipenda zaidi hii.
 
Mbona kama ITV sasa hivi wanazuia asisema Kura za Rais au ni km naskia vibaya.. washapgwa mkwara nin!! wasilete miyayusho awa jamaa unajua watu tunataka changes afu wanataka kuleta miyayusho.. tangazeni matokeo ITV achen woga'
 
Ninamshangaa Rainfred Masako kwani kutangaza matokeo hayo ndiyo kumtangaza mtu kuwa kashinda? Nadhani anaogopa vitisho kuwa anayetakiwa kutangaza matokeo ni NEC. Haelewi kuwa yale yanayotangazwa vituoni inamaanisha NEC imekwisha tangaza.
 
ni ujinga huu sijuhi anaogopa nini ,yeye anatangaza idadi ya kura sehemu fulani
 
ni ujinga huu sijuhi anaogopa nini ,yeye anatangaza idadi ya kura sehemu fulani

Awa jamaa tatizo wamezidi woga sana.. nyie tajeni tu bwana kwanza hawana serikali tena hao haina haja ya kuwaogopa kabisa
 
Ninamshangaa Rainfred Masako kwani kutangaza matokeo hayo ndiyo kumtangaza mtu kuwa kashinda? Nadhani anaogopa vitisho kuwa anayetakiwa kutangaza matokeo ni NEC. Haelewi kuwa yale yanayotangazwa vituoni inamaanisha NEC imekwisha tangaza.

Pia unatakiwa kujua kuwa huyu bwana ana kadi ya CCM hapo studio. Ukimsikiliza vizuri anatangaza kutokana na uzoefu wake wa kupigwa chini kura za maoni CCM kule Ulanga. Sasa tujue kuwa bado anaimani anaweza teuliwa kugombea jimbo kama mbunge atakayeshinda hataishi mpaka 2015.
 
DU! Jamaa zangu Wakuu bado mko?

Mimi ndo naamka nikijua wote mtakuwa mmelala lakini wapi . . .

Hongera sana DC, IY,FC, Ogah, NA, BK. Rev na wakali wote wa JF, hakika sijapata kuona.

Big up sana. Tupo pamoja!
 
Zanzibar Presidential Results

1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim CUF 623,
Shein CCM 132.

Wadi ya vikokotoni
Maalim Seif CUF 204
Dr Shein CCM 96

Ziwani -Pemba
*
Maalim Seif CUF 1080
Dr Shein CCM 60

Malindi - Unguja
Maalim Seif CUF 104
Dr Shein CCM 28

==================
OFFICIAL RESULTS:

To follow here

Papo kwa papo anareport: KILOSA

Inaniuma sana kubandika hii habari...
kwenye jimbo la kilosa CCM wameshinda viti 11 vya udiwana, 3 wapepita bila kupingwa na kimoja kachukua mtu wa CUF....
Kwenye ubunge CCM wamepata kura nyingi sana......siwezi hat kusema
 
Back
Top Bottom