Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

SUPERMAN,DC,ELLI,:smile-big:GOOD JOB MAN ,naona mkuu super toka monii unaripoti hapa kazi nzuri ndg yangu,mi mpaka hapa nishajua rais ni nani ngoja nikalale,maana kesho box linasubiri.lakini hizi update ninazo ntazifuatilia toka saa 12 usubuhi.watanzania tumeamka walai.:smile:
 
Zitto confirm tayari, visit Zitto na Demokrasia
 
Wapendwa wote tushukuru Mungu Damu haijamwagika uchaguzi nchi umekuwa wa Amani tofauti na Mkwere alivyotamani iwe.

Naenda pumzika nawaachia baraka tele!

Last edited by a moderator:
Lindi Mjini: Udiwani.

Raha Leo.
CCM = 402
CUF = 341

Nachingwea
CCM = 634
CUF = 536

Mitandi.
CCM = 469
CUF = 482

Ndolo.
CCM = 336
CUF = 337

Makonde.
CUF = 271
CCM = 231

Mwenge
CCM = 566
CUF = 477
 
Pasco naye anatuhabarisha:
duh hapa ndio ninapochukia politiki.maana mpaka nimekugongea ze nidful,wakati nilitaka niku quote kwa habari mbaya za pasco.ah basi mshatukata stimu.:rip:
 
Zito yuko Live kwenye Bongo radio

Anasema upigaji kura umeenda vizuri ila watu wachache walijitokeza ila yeye kashinda. Anahofia kuwa labda shahada zimenunuliwa

Anaongoza kwenye kata 9 kati ya 11, uchaguzi wa Rais Dr Slaa kashinda. Matokeo rasmi yatatangazwa kesho.

Bado wanafuatilia matokea ya maeneo mbali mbali. Yeye anakusanya matokeo ya maeneo yote ili baadaye aweze kutoa figure rasmi.
 
Tanga mjini upuuzi mtupu. Msimamizi anawapigia simu wasimamizi wasaidizi wanaonyesha kuwa CUF anaongoza katika kata nyingi lakini wanachelewa kupelekeka hayo matokeo kwenye ofisi za jimbo.
I guess CCM wanatafuta njia ya kuchakachua.
 
mmesoma lakini habari ya pasco anasema kapata news ccm washasema watashinda kwa asilimia 80% na tarumbeta la mkwere kuapishwa ni ijumaa hii pale magogoni?hivi hawa washaona haya matokeo ama washalewa kabisa na uongozi na ufisadi kiasi hata hawaoni hatari inayowajia?tunahitaji kuwapa lesson hawa jamaa kama tumechoka kukandamizwa nao.
 
Tanga mjini upuuzi mtupu. Msimamizi anawapigia simu wasimamizi wasaidizi wanaonyesha kuwa CUF anaongoza katika kata nyingi lakini wanachelewa kupelekeka hayo matokeo kwenye ofisi za jimbo.
I guess CCM wanatafuta njia ya kuchakachua.

Huu ndiyo mwanzo wa vurugu. Kitendo cha kuwaacha walimu kusimamia uchaguzi huu na kuchukua makada wa CCM kuwa wsimamizi wa vituo, ni dalili kuwa CCM haiitakii nchi mema. Matokeo ambayo CCM imeongoza wanayapeleka haraka ila kama ni upinzani wanaanza mzengwe. We ngoja kukuche moto utawawakia very soon. N huenda uchaguzi ukafutwa kesho
 
Kutoka Zanzibar live...ITV

Jimbo la Dole

Kura zote 8634,

CCM 4777
CUF 2007
Wengine wamegawana zilizobaki

Dimani (kura halali 11208)
CCM 6225
CUF 4898

Kiembesamaki (kura halali 3806)
CCM 2734 (71.8%)
CUF 1041 (27.4%)

Mwanakwerekwe (Kura halali 7178)
CCM 4338(60.4%)
CUF 2812 (39.2%)

Bububu (kura halali 8606 ..98.6%)
CCM 4458(51.8%)
CUF 4119(47.9%)

Mfenesini (Kura halali 6038, 97.3%)
CCM 3755 (62.2%)
CUF 2246 (37.2)
 
dole--
108-zimeharibika
shein-4077==69.9%
cuf-2007-29.4%
jimbo dimani
hrikbika 115
shein-6225==55.5%
cuf-4898==43.7%
nra-11==0.1%
jimbo la kiembe samaki jumla ya 10884
zilizopigwa ni 3856==35.4%
haribika ==50kura
ac-==5==0.5
ccm===2734==71.8
cuf1041==27.4%
j.asilia 5
nccr ==3
nra10==0.3%
mwanakwerekwe

8062
zilizopigwa 7053
halali--7178==98.4%
harbika 115
ac==4==0.1%
ccm==4338
cuf==2012
source:itv
 
Mkoa wa Magharibi- Zanzibar
Dole
Urais.
CCM = 4,777
CUF = 2,007

Bimani.
CCM = 6,225
CUF = 4,898

Kihembe Samaki
CCM = 2,754
CUF = 1,041

Mwanakwerekwe.
CCM = 4,338
CUF = 2,812

Muhugu
CCM = 4,458
CUF = 4,119

Mfenesini.
CCM = 3,755
CUF = 2,246

CUF wameweza kupata jimbo la mtoni huko Unguja kwa kura (CUF - 4,377). CUF haijawahi kushinda jimbo lolote Unguja. This is a good start.

Sikuweza kuweka matokeo ya vyama vingine maana wamepata namba za viatu.
 
Majimbo 8 ya Mkoa wa Magharibi Zanzibar (matokeo ya Urais) yametangazwa.
CUF wametwaa jimbo moja la Mtoni
 
Mkoa wa Magharibi - Zanzibar
Dole - Zanzibar
Urais.
CCM = 4,777
CUF = 2,007

Bimani.
CCM = 6,225
CUF = 4,898

Kihembe Samaki
CCM = 2,754
CUF = 1,041

Mwanakwerekwe.
CCM = 4,338
CUF = 2,812

Muhugu
CCM = 4,458
CUF = 4,119

Mfenesini.
CCM = 3,755
CUF = 2,246

CUF wameweza kupata jimbo la mtoni huko Unguja kwa kura (CUF - 4,377). CUF haijawahi kushinda jimbo lolote Unguja. This is a good start.

Sikuweza kuweka matokeo ya vyama vingine maana wamepata namba za viatu.

Majimbo hayo yote ni kutoka Unguja. Majimbo yote yalikuwa yanashikiliwa na CCM kabla ya uchaguzi.
 
kwa ushindi wa Nyamagana, Mwanakijiji lazima acheze "bampini" kwenye wheelchair yake!! lol
 
Zanzibar vipi tena huko? nilijua cuf wanachukua urais naona kw ahesabu zenu hapo sijui kama watafanikiwa au bado ?
 
Back
Top Bottom