Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Jamani huwezi amini Michuzi blog imedoda....no updates.
Hongera JF kwa kazi ngumu ya kuhabarisha watanzania.
 
Za asbh superman, Ndo nimeamka mdau, nipe ripoti mpwa

Kamanda na mimi ndo naamka sasa hivi nilekuta wadau nanachapa kazi bila hiana.

Hakika Tanzania itajengwa na wenye moyo na wapo wengi tu.

Kiranga anatuhabarisha:

Mbezi Beach

Tangi Bovu - Urais
CCM 60,
CHADEMA 108,
CUF 4

Soko Jipya /Mbezi Beach Urais

Kituo namba 1
CCM 51,
CHADEMA 115,

Kituo namba 2:
CCM 63,
CHADEMA 100,
 
Kamanda na mimi ndo naamka sasa hivi nilekuta wadau nanachapa kazi bila hiana.

Hakika Tanzania itajengwa na wenye moyo na wapo wengi tu.

Kiranga anatuhabarisha:

Mbezi Beach

Tangi Bovu - Urais
CCM 60,
CHADEMA 108,
CUF 4

Soko Jipya /Mbezi Beach Urais

Kituo namba 1
CCM 51,
CHADEMA 115,

Kituo namba 2:
CCM 63,
CHADEMA 100,

ASANTE SUPERMAN , asante kwa hii update so, ushindi kwa mdee nauona uleeeeeeeeeeeeee, unakaribia,
 
Kamanda na mimi ndo naamka sasa hivi nilekuta wadau nanachapa kazi bila hiana.

Hakika Tanzania itajengwa na wenye moyo na wapo wengi tu.

Kiranga anatuhabarisha:

Mbezi Beach

Tangi Bovu - Urais
CCM 60,
CHADEMA 108,
CUF 4

Soko Jipya /Mbezi Beach Urais

Kituo namba 1
CCM 51,
CHADEMA 115,

Kituo namba 2:
CCM 63,
CHADEMA 100,

Asante tupo pamoja tena :smile-big::smile-big::smile-big:
 
Jamani huwezi amini Michuzi blog imedoda....no updates.
Hongera JF kwa kazi ngumu ya kuhabarisha watanzania.

Jamaa alikuwa ikulu akila kuku na JK siku mzima. Hujaona picha zake akiwa ikulu?
 
[COLOR=red said:
Superman[/COLOR];1199264]Kamanda na mimi ndo naamka sasa hivi nilekuta wadau nanachapa kazi bila hiana.

Hakika Tanzania itajengwa na wenye moyo na wapo wengi tu.

Kiranga anatuhabarisha:

Mbezi Beach

Tangi Bovu - Urais
CCM 60,
CHADEMA 108,
CUF 4

Soko Jipya /Mbezi Beach Urais

Kituo namba 1
CCM 51,
CHADEMA 115,

Kituo namba 2:
CCM 63,
CHADEMA 100,

Karibu mkuu, Karibu tena kazini, bado tunakomaa mpaka kieleweke, Hakika baada ya kuondoka wewe na Dark City jukwaa lilipwaya kidogo, Then Max Melo naye akasitisha updates baada ya Server ya NEC kuwa slow basi kukawa na mpishano. Naamini baada ya majembe yangu kurudi basi timu work itaanza upya.

Kuna Update za Masha kuwa Officially ruled out ila source haijatulia Please let keep informed each other. Otherwise welldone
 
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

YAH: KUAHIRISHA BAADHI YA CHAGUZI MBALIMBALI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa katika kikao chake cha tarehe 30/10/2010 imefanya maamuzi ya kuahirisha Uchaguzi katika baadhi ya Majimbo na Kata kutokana na upungufu uliojitokeza hususan katika karatasi za kura.

Kata na Majimbo ambayo Chaguzi zake zimeahirishwa ni kama ifuatavyo:-

1. Uchaguzi wa Wabunge katika majimbo ya Nkenge, Mpanda Mjini na Mpanda vijijini.Kwa upande wa Zanzibar (Unguja) Majimbo ya Mwanakwerekwe,Mtoni na Magogoni,na Wete (Pemba)
2. Uchaguzi wa Madiwani katika kata zifuatazo:-
Na.
HALMASHAURI KATA
1 Newala DC Mtonya
2 Mbulu DC Endegikot
3 Manyoni DC Kitaraka
4 Same DC Kisiwani
5 Kibaha DC Janga
6 Rufiji (a)Kibiti
(b) Chemchem
(c) Ngorongo
(d) Kipugira
(e) Mjawa
7 Uyui DC (a)KIgwa
(b)Ibelamilundi

8 Sikonge Kisanga
9 Njombe Mji Mwema
10 Ulanga DC Msogezi
11 Karagwe DC (a) Kimuli
(b) Kamuli
12 Kasulu Kitagata
13 Chato DC Buseresere
14 Mwanza (Jiji) (a) Mkuyuni
(b) Mirongo

Hata hivyo katika majimbo hayo matatu ambapo Uchaguzi wa Wabunge umeahirishwa, Uchaguzi wa Rais na Madiwani utanaendelea kufanyika leo kama ilivyopangwa.

Source: Michuzi
 
TBC wanatangaza matokeo xzanzibar but naona inagoma kwangu natumia dish, pls mwenye updates maana ITV, STARTV NA CHANEL TEN wamekaa kimya!!!!!
 
Ndo kwaaanza kazi ya kuhakikisha tunaondoa mzizi wa fitina imepamba moto, hata hivyo naona vituo vimepata stamering kama ya jamaa, hakuna anayetangaza tena matokeo, only TBC na hapa kwangu inastuck
 
Superman, endeleza mambo hapa.....nahisi macho yangu kusalimu amri. Shift ni muhimu mkuu, nasalimu amri kwa muda lakini nitarudi hapa mapema kuendeleza libeneke hadi kieleweke.
 
Naskiliza BBC swahili, mshkaji anaeripoti mambo toka bongo naona full kigugumizi! SOLOMBI ndo anaeripoti na naona mwandishi kamkatisha fasta!!! Huko arusha kwa mujibu wa BBC ni kwamba Kaloleni watu wanajirusha tu!!! FULL SHANGWE, LEMA, ndio anatamba sasa through BBC
 
Wakuu, nasalimu amri, ngoja nikapumzike wazee hope nitarudi later on.

Superman, Elli, Dark City, Indume Yene kazi njema wajeshi wangu. All the best, mimi macho yamegoma, key pad naziona kwa shida full usingizi waungwana.
 
Superman, endeleza mambo hapa.....nahisi macho yangu kusalimu amri. Shift ni muhimu mkuu, nasalimu amri kwa muda lakini nitarudi hapa mapema kuendeleza libeneke hadi kieleweke.

Mkuu, pole sana. Nenda karecharge maana hiyo nayo muhimu.

Mimi naelekea kibaruani lakini tuko pamoja mpaka mtu aingie magogoni rasmi.

Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!

Amandla!
 
Wakuu, nasalimu amri, ngoja nikapumzike wazee hope nitarudi later on.

Superman, Elli, Dark City, Indume Yene kazi njema wajeshi wangu. All the best, mimi macho yamegoma, key pad naziona kwa shida full usingizi waungwana.

Mkuu wetu wa Kikosi cha Intelligencia,

Asamte sana. Wewe na makamanda wako wa Anga, Ardhini, Maji n.k uliowataja hapo juu mmefanya kazi kubwa.

Sasa hivi Tanzania yetu ina mwelekeo mzuri sana.

Kampumzike Kamanda!
 
Jamiiforums anaripoti:

Mnyika Aahinda Jimbo la Ubungo
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mmoja wa makampeni meneja wake, Edward Kinabo,mpaka sasa katika kata 14, Mnyika anaongoza kwenye kata 12 kwa kumzidi mgombea wa CCM, Hawa Ng'umbi kura 16,732.

Matokeo ya kata 2 za Saranga na Kibamba bado yanaendelea kujumlishwa na timu yake inayotumia fomu za matokeo halali ya kila kituo yaliyotolewa na NEC.Wakati huo huo wagombea udiwani wa Chadema kata ya Ubungo, Sinza, Saranga, Goba, Mbezi, Makuburi na Kibamba wanatarajiwa kutangazwa washindi wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuongoza kwa kura nyingi.

Matokeo rasmi ya ubunge yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya Nec na vyama vyote kukamilisha ujumlishaji unaoanza alfajiri hii Mabibo katika ukumbi wa shule ya sekondari Loyola.
 
JF bado hawajaamka mikoani huko?? maana naona hizi chanel zote za bongo hazina jipya tena, sijui ndo zimeshapigwa stop, sijui!!!
 
Mkuu Elli,

With time mambo yatawekwa we hadharani . . . . .
 
Back
Top Bottom