Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Kama vile nina wacwac na mwenendo wa mambo sasa, nadhani sisiemu ndo wanaingia kazini sasa
 
Mpaka sasa Wadau wanareport Majimbo yaliyokwenda upinzani ni:

  1. ubungo.......CHADEMA
  2. kawe...........chadema
  3. iringa mjini.....chadma
  4. mbeya mjini.....chadema
  5. moshi mjini.......chadema
  6. kigoma kaskazini.....chadema
  7. tanga mjini......CUF
  8. mtwara mjini.....CUF
  9. hai.....chadema
  10. vunjo....TLP
  11. rombo....chadema
  12. bukombe- chadema
  13. kibondo-chadema
  14. kasulu-NCCR
  15. Nyamagana ==Chadema
  16. Musoma===Chadema
  17. Vunjo====TLP
  18. Ilemela - Chadema
  19. Kinondoni - CHADEMA
 
JF bado hawajaamka mikoani huko?? maana naona hizi chanel zote za bongo hazina jipya tena, sijui ndo zimeshapigwa stop, sijui!!!

...Umenotice ee?? hazina jipya. Maelezo mareeeeeeeeefu kwa kila kitu...kasoro kile tunachosubiri. MATOKEO!! Halafu kesho na keshokutwa wamiliki wa vituo hivi wanajisifia kuwa wako HURU!!
 
Mpaka sasa Wadau wanareport Majimbo yaliyokwenda upinzani ni:

  1. ubungo.......CHADEMA
  2. kawe...........chadema
  3. iringa mjini.....chadma
  4. mbeya mjini.....chadema
  5. moshi mjini.......chadema
  6. kigoma kaskazini.....chadema
  7. tanga mjini......CUF
  8. mtwara mjini.....CUF
  9. hai.....chadema
  10. vunjo....TLP
  11. rombo....chadema
  12. bukombe- chadema
  13. kibondo-chadema
  14. kasulu-NCCR
  15. Nyamagana ==Chadema
  16. Musoma===Chadema
  17. Vunjo====TLP
  18. Ilemela - Chadema
  19. Kinondoni - CHADEMA

vunjo umerudia mara mbili, kaka
 
Nec imemtangaza Vincent Nyerere Kiboko wa Chadema mshindi Musoma mjini kwa 59.71% kamshinda Vedastus Mathayo 39.38% source: ITV
 
mbona kimya wajameni, bandugu tupeni update
 
ndo nafika nyumban toka jana asubuhi yaani nilivyojaa vumbi usiombe........

mzee wangu amenunua mbuzi tunashereka ushindi wa wenje nyamagana hapa mwanza.

kesho nachapa lapa kurudi kwangu kazi nimeimaliza....
 
Mpaka sasa Wadau wanareport Majimbo yaliyokwenda upinzani ni:

  1. ubungo.......CHADEMA
  2. kawe...........chadema
  3. iringa mjini.....chadma
  4. mbeya mjini.....chadema
  5. moshi mjini.......chadema
  6. kigoma kaskazini.....chadema
  7. tanga mjini......CUF
  8. mtwara mjini.....CUF
  9. hai.....chadema
  10. vunjo....TLP
  11. rombo....chadema
  12. bukombe- chadema
  13. kibondo-chadema
  14. kasulu-NCCR
  15. Nyamagana ==Chadema
  16. Musoma===Chadema
  17. Vunjo====TLP
  18. Ilemela - Chadema
  19. Kinondoni - CHADEMA


Nani hapo mkuu mbunge wa chadema??
 
Ubungo - Udiwani chadema wameshinda ktk kata za Saranga, Mbezi, Sinza na Kimara
 
Wakuu wangu niko hewani tena,

Link ya Max siipati...Naomba mniwekee hapa. Ila ningemwomba Max aiweke juu kabisa.
 
Back
Top Bottom