Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Kuna matokeo ya vituo vya ITV yametangazwa sasa hivi. Sikuweza kuchukua tarakamu ila inaonekana kwamba CHADEMA wamepiga bao.
Katika vituo vyote vya ITV Dr. Slaa ameongoza kwa kati ya kura 15 na 20. Hii ni pamoja na udiwani na ubunge.
 
Duh CHADEMA wanatisha loh............................ Hongereni sana watanzania mmeonyesha ukomavu kisiasa sasa tusubiri serikali nayo ionyeshe ukomavu wa demokrasia. MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU Wabariki Watanzania.
 
Hii ni kutoka Karatu,

Gurta said:
Kituo Anna Gamazo Sec

prez

ccm - 138
chadema - 170

mbunge
ccm - 142
chadema - 161

diwani
ccm - 145
chadema - 165
 
Kwa mujibu wa Star TV:

Moshi:

Mawenzi:

Urais:

CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1

Ofisi ya misitu:

Urais
CCM 75
CHADEMA 69

Ubunge:

CCM 68
CHADEMA 107

Mawenzi Shule ya Msingi:

Urais:

CCM 79
CHADEMA 42

Ubunge:

CCM 55
CHADEMA 54

Kituo kidogo Mawenzi:

Urais:

CCM 147
CHADEMA 72

Ubunge:

CCM 102
CHADEMA 62


Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?
 
Duh CHADEMA wanatisha loh............................ Hongereni sana watanzania mmeonyesha ukomavu kisiasa sasa tusubiri serikali nayo ionyeshe ukomavu wa demokrasia. MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU Wabariki Watanzania.

Ndugu yangu hali inatia hamasa hata huwezi kuamini...Kwaba hawa ndio watanzania ambao siku zote wamekuwa wakisemwa kuwa ni waoga...

Ni raha sana kuona mabadiliko namna hii..
 
Vituo vyote vya Makongo juu (ITV1 hadi ITV5) Chadema anaongoza kwa ngazi zote urais, ubunge na udiwani.
Source: ITV

Yeah nimerekodi kama hivi hapa:
ITV1:URAIS

CHADEMA-88
CCM -71
UBUNGE:
CHADEMA-93
CCM -51

UDIWANI:
CHADEMA-89
CCM - 73

ITV2:
CHADEMA-107
CCM -78
UBUNGE:
CHADEMA-110
CCM -59

UDIWANI:
CHADEMA-115
CCM - 73

ITV3:

CHADEMA-87
CCM -70
UBUNGE:
CHADEMA-93
CCM -46


itv4 na itv5 nimechanganya kidogo kunakili manake huku niliko tayari saa 10 za usiku nna matongotongo.

Ila zote kama walivyosema hapo juu CHADEMA wanaongoza.
 
Kwa mujibu wa Star TV:

Moshi:

Mawenzi:

Urais:

CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1

Ofisi ya misitu:

Urais
CCM 75
CHADEMA 69

Ubunge:

CCM 68
CHADEMA 107

Mawenzi Shule ya Msingi:

Urais:

CCM 79
CHADEMA 42

Ubunge:

CCM 55
CHADEMA 54

Kituo kidogo Mawenzi:

Urais:

CCM 147
CHADEMA 72

Ubunge:

CCM 102
CHADEMA 62


Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?

Hayo matokeo hapo juu yana uwalakini, hata kama ni kuchakachua bora wangeenda jimbo la Monduli kuliko kwa Mzee Ndesa. Au mie ndiye nina crossed eyes!!
 
Chanel TEN wamebana sasa wameachia, mambo hadharani, sisiemu kwaheri, njooni niwape mabegi mumpelekee JK afungushe virago vyake
 
Kwa mujibu wa Star TV:

Moshi:

Mawenzi:

Urais:

CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1

Ofisi ya misitu:

Urais
CCM 75
CHADEMA 69

Ubunge:

CCM 68
CHADEMA 107

Mawenzi Shule ya Msingi:

Urais:

CCM 79
CHADEMA 42

Ubunge:

CCM 55
CHADEMA 54

Kituo kidogo Mawenzi:

Urais:

CCM 147
CHADEMA 72

Ubunge:

CCM 102
CHADEMA 62


Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?

wtf yaani moshi ndio wamefanya hivi???????????:tape:
 
Kagera hali ya hatari ilitangazwa baada ya watu kuanza kushangilia matokeo na wadau kukataa kwenda majumbani wakidai wanalinda kura.

Ilibidi Jeshi la police liingilie kati na kutawanya.
 
MAtokeo ya KAHAMA
Nimepigiwa simu sasa hivi kwa habari za kuaminika majimboa ya kahamayafuatayo yamechukuliwa na CHADEMA
Nyihogo
Majengo
Muhongolo
Nyasubi

Nyahanga
Kahama Mjini

Hayo yote Yamechukuliwa na CHADEMA

Mwendakulima wamechukua TLP Jamaa anaitwa MAJABI
Figure zinakuja hivi punde
 
Eneo la Kashai huko Kagera kwa mujibu wa ITV polisi walitumia nguvu baada ya wananchi kushangilia ushindi. Kwa mujibu wa nakala zinazosainiwa na mawakala wananchi wameshajua mshindi ni nani but polisi wanazuia hizo shamra shamra.
 
Malunde Malundi anaripoti:

Sumve CCM Out (Ndassa)

Ubunge Jimbo la sumve

Ngula
CUF 800+
CCM 20+

Malya
CUF 800+
CCM 30+

Sumve
CUF 700+
CCM 20+

Maligisu
CUF 600+
CCM 300+

Kadashi
CUF 500+
CCM 100+

bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made​

 
yelewiiiiiiiii......mbura...........yaani Moshi mnaniangusa namna hii ma bwashee????????
 
Kaumza anatupasha:

Baadhi ya matokeo ya Kigoma Mjini
Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa.
 
Back
Top Bottom