Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Chalinze Pwani hali inaripotiwa kuwa ni tulivu sana. Shule ya msingi Msoga ndipo JK atapiga kura yake.
naona keshapiga, maana hapa ubungo kuna msafara unatokea huko njia ya morogoro nahisi ni wake mkwere
Jk akipiga kura live on star tv
Mzee MJJ hebu weka mambo sawa zaidi, ya kwenda wapi??Baadaye leo tutashirikiana na BongoRadio kurusha matangazo ya ITV online!!!! sijui saa ngapi.. naenda kulala maana kuna kukesha kesho au maandalizi ya safari!!!