ITV wanareport kuwa kituo cha Teknohama kime-observe baadhi ya maeneo kuna mawakala wana majina yao na walitaka kulinganisha na yale ya kwenye tume wakakataliwa.
Pia askari wanalalamika hawajapewa posho na toka jana usiku wanatoa ulinzi vituoni. Hawjanywa hata chai na wana usingizi. Pia wanaogopa offers za chakula kwa kuwa wanaweza wakaleweshwa.
ITV wanaripoti kuwa Pemba mambo ni shwari kabisa na zoezi linaendelea vizuri licha ya kasoro ndogo ndogo kama kuwekewa nembo tofauti kza vyama kwa wagombea udiwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.