Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sasa jamani huyu Mbatia alikua wapi siku zote asiende kuhakiki jina lake? si ndio walipiga makelele kwamba majina yawekwe mapema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbatia anadai lazima leo apatiwe haki yake ya kupiga kura. Yeye ni mgombea na pia Mwenyekiti wa Chama.
Hizi kasoro za watu kutokuona majina yao ni karibu nchi nzima. Nasikiliza hapa BBC wanaripoti habari hizo hizo kila kituo. Kuna uwezekano wananchi wengi wakakosa kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.NEC wana jambo la kujifunza ktk hili