King kingo
JF-Expert Member
- Sep 6, 2010
- 401
- 26
Du! Inakuwaje? Ina maana alijiandikisha Zanzibar au DSM? lakini 2005 si alipigia Pemba?
Si alijua angekuwa mgombea mwenza mambo yakabadilika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Inakuwaje? Ina maana alijiandikisha Zanzibar au DSM? lakini 2005 si alipigia Pemba?
Mwingine kafika kituoni anaonekana kwamba ni MAREHEMU!!!! NEC na vituko vyao[/QUOTE
huu sasa utani wa NEC:A S angry:
Mzee MJJ hebu weka mambo sawa zaidi, ya kwenda wapi??
Samahani wajumbe, nimepata sms toka kwa mtu wa karibu sana na mm, ambaye ni mmoja wa askari walioletwa hapa Dar kama ambavyo nilsharipoti!! ujumbe huu unanitaka nijiandae kukubali matokeo...nimeshindwa kuhoji tena kuna nini???
Huyo WP ndio nani mheshimiwa, sijakupata.nimeongea na askari mmoja amesema ni kweli WP amekamatwa na vitambulisho vitano, vya kupiga kura na sasa hivi yuko LUPANGO
kwenda kushuhudia raisi mpya akiapishwa......Hata mimi siku mwelewa vizuri anaenda wapi! Hopeful safari ya kurudi nyumbani baada ya nchi kukombolewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Just thinking aloud!
Njimba
Kutoka Iringa jamaa kanijuza sasa hivi kwamba Monica Mbega anatarijiwa kupelekwa government muda wowote kutokea sasa.
Nilipomuuliza 'government' ndiyo nini akajibu "si unajua -- Government Hospital? Lazima atalazwa pale kwa presha kwa sababu wana-Iringa wamedhamiria kumpa kipondo cha msimamo! Wapiga kura walikuwa wakikonyezana kimya kimya vituoni na kuonyeshana alama V kwa staili ya pekee!
Hongereni wana-Iringa kwa kuyakubali Mabadiliko.
Elli unaweza ukatufafanulia zaidi? hatukubahatika kuona nini ulireport huko nyuma.
NEC are not Seroius kuna kata Huko Tabira ina Wapiga Kura 11,000 lakini wamepelekewa Karatasi 900 tu sijui hizo karatasi zingine wamepeleka kata gani