PayGod
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 1,259
- 60
huyo wp ndio nani mheshimiwa, sijakupata.
Asante kwa updates
askari wa kike aliyekamatwa na vitambulisho vitano vya kupiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo wp ndio nani mheshimiwa, sijakupata.
Asante kwa updates
Hiyo si kampeni ni msisitiizo kwa watu walioamua kufanya jambo la kheri. Lakini kuna chama kikongwe kimetufanyia fujo usiku kucha, wakipiga kampeni wakati zimeisha. CCm hao! hadi asubuhi bila aibu wanajisema eti sisi ndo tulikuja jana usiku, halafu tunaripot hao nec hawasemi kitu. kuna magari yamepita hapa Tanga na bendera karibu kabisa na vituo, hakuna cha nec wala nini,Umetoa ushahidi wa CHADEMA kupiga kampeni kituoni.
NEC wameshaiona hiyo.
Najiaandaa kwenda kumwajiri rais wangu.....Sisi em poleni sana kwa kuikosa kura yangu!!Ndo naondoka MLIMANI-UDSM, hali ni shwari na thanks GOD turnup ya wanafunzi imekua kubwa sana, ule ujanja wao wa kuwaondoa chuo haujafanikiwa kivile
Ndo naondoka MLIMANI-UDSM, hali ni shwari na thanks GOD turnup ya wanafunzi imekua kubwa sana, ule ujanja wao wa kuwaondoa chuo haujafanikiwa kivile
Wanajamvi naomba kuuliza matokeo yanatazamiwa kutangazwa saa ngapi?
Lakini huyu bwana mdogo RIZ1 ni nani katika nchi mpaka anapewa nafasi ya kuulizwa masuala ya kitaifa? Haifurahishi kabisa jinsi nchi inavyoendelea!Riz-1 na JK wote wamedai hawahusiki la hilo. Waulizwe wahusika. Riz1 anadasema hawajazuiwa kupiga kura.
![]()
mama lazima atashinda tuuu....kelele za mlango hazimzuiii mwenye nyumba kulala :nono:
UCHAGUZI MKUU TZ BIKIZEE WA MIAKA 120 ATINGA KUCHAGUA VIONGOZI IRINGA
Mpiga kura mwenye miaka 120 Adelphina kayombo akisubiri kusaidiwa kupiga kura katika kituo cha Kihesa chekechea mjini Iringa leo
Hapa akisaidiwa na mtoto wake wa mwisho (kushoto) Ade mgohamwende mtoto na mjukuu wake Esta Mahagama
Mtangazaji wa Redio Country Fm (88.5) Iringa ambayo inarushwa live mchakato huo Bw Zamoyon Ngede akipiga picha ya pamoja na bibikizee huyo
hapa akisaidiwa kuingia katika gari
Ndg yangu hapa ndo utaelewa kuwa tunaowaandishi wa habari na waandika taarifa; hawa wa mwisho lililomuhimu kwa ni tumbo na siyo Taifa Tanzania. Namkumbuka mwl wangu mmoja aliyewahi kusema ukiona msomi hofu yake ni tumbo basi ujue amefika kikomo cha kufikiria, anatakiwa achukuliwe kama mfu. Hafai kwa ushauri na sauti yake haiwezi kuleta mapinduzi ya kweli. Hata kama juzi au jana yake, ktk fani yake alikuwa ni guli ya kiasi gani.Lakini huyu bwana mdogo RIZ1 ni nani katika nchi mpaka anapewa nafasi ya kuulizwa masuala ya kitaifa? Haifurahishi kabisa jinsi nchi inavyoendelea!
wafe na waliwe na kunguru wa Zanzibar. Tehe tehe teheeebaada ya saa moja tutaanza kusikia tetetesi kabla CCM hawajaanza kuchakachua matokeo washindwe na walegee