Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Gaijin hapa naangalia TBC live mtu wao kutoka Mpanda-S'wanga anasema kituo kimoja wamepiga watu 173 tu!
Kwa hiyo matokeo tutegemee yatakuwa ni michakachuo tu!
 
Hata kama wengine hawajapiga kura usishangae sisiem wanatangaza kwamba jumla ya kura zilipigwa silikuwa 21M. Kwani wanahaibu?
 
Tunakumbushwa Historia ITV:

Mwaka 1995 Ushindi ilikuwa ifuatavyo:

Urais:

Mkapa: 61.82%
Mrema: 27.77%
Lipumba: 6.43%
Cheyo: 3.97%
 
1995 Ubunge:

CCM 59.22%
NCCR 21.83%
CHADEMA 21.83%
 
Mwaka 2000

Mkapa 71.74%
Lipumba 16.68%
Mrema 7.80%
Cheyo 4.20%
 
Tutayaona hayo yote yaliyojificha. Mwaka huu watu wameamua mabadiliko hakuna siri tena
 
Ubunge 2000; Viti vya Kuchaguliwa na Maalumu:

CCM 258
CUF 22
TLP 6
CHADEMA 5
UDP 4
NCCR 1
 
Mwaka 2005 Urais

Kikwete 80.28%
Lipumba 11.68%
Mbowe 5.88%
Mrema 0.75%
 
Ninasikiliza ITV sasa hivi, katika kata moja katika jimbo la Mwanga imetangazwa kuwa mmoja wa mawakala wa CCM amegundulika kuwa ni mmoja wa Green Guard member. Amekabidhiwa kwa kwa polisi lakini hatujui nini kitafuata

Mnaosikiliza mnaweza kushuhudia.
 
Ubunge mwaka 2005:

CCM 70%
CUF 14.3%
CHADEMA 8.2%
TLP 2.7%
NCCR 2.2%
 
Ninasikiliza ITV sasa hivi, katika kata moja katika jimbo la Mwanga imetangazwa kuwa mmoja wa mawakala wa CCM amegundulika kuwa ni mmoja wa Green Guard member. Amekabidhiwa kwa kwa polisi lakini hatujui nini kitafuata

Mnaosikiliza mnaweza kushuhudia.

Asante IY

Imeripotiwa kuwa waliojitokeza ni chini ya 50% kwa sababu mbalimbali ikiwepo ile ya kuwa leo ni siku ya mnada na kupata mahitaji.

Du!
 
Data za Mwaka 2010 ziko hivi:

Jumla ya majimbo:

Bara 189
Unguja 32
Pemba 18
Jumla 239
 
With CCM anything can happen sijui ata Hesabu zinawashinda!
 
Vyama vimesimamisha Wagombea Ubunge kama ifuatavyo:

AFP 15
APPT 16
CCM 239
CHADEMA 179
CHAUSTA 13
CUF 182
DP 35
Jahazi 21
Makini 17
NCCR 67
NLD 23
NRA 19
SAU 32
TADEA 32
TLP 42
UDP 45
UMD 23
UPDP 36

Jumla ya wagombea Ubunge Wote 1036
 
:rip:Wale waliotaka kumpa kura mwakalebela naona wameamua kumwadabisha Mama. Asante Mwakalebela Mungu atakuzidishia
 
Zanzibar inaripotiwa kuwa daftari la wapiga kura limechukuliwa na msimamizi wa uchaguzi na kura zikaendeshwa bila daftari.

Inadaiwa pia kuwa kuna watu wakipiga kura wanapanda vespa na kwenda kufuta wino kisha wanarudi na kupiga kura tena.

Hayo ni malalamiko ya mgombea Ubunge wa CUF katika moja ya majimbo.
 
Kutokana na mawakala kunyimwa daftari la wapiga kura....kuna watu wakishapiga kura wanaenda kufuta wino alafu wanarudi tena!!
 
Back
Top Bottom