Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Nimeamka na nimerudi tena, naangalia ITV vipi kuna lililonipita la msingi? matokeo ya awali yanasemaje???
 
Baregu ndani ya TBC1 akielezea wajibu wa Mawakala
 
Baregu ana matumaini CHADEMA wataibuka washindi na hata kama hawatapata wabunge majority wanaweza wakaangalia nini cha kufanya.
 
Star TV wanareport kuwa kuna masanduku ya Rukwa yamepelekwa Makambako
 
Baregu anasisita tiza kuwa kuwe na umakini mkubwa sana wa kuhesabu kura.

Ana wasiwasi na idadi ya watu kuwa ndogo huenda ikawa imeathiriwa na vitisho vilivyotolewa.

Matumaini yake ni kuwa kura halali peke yake ndiyo zihesabiwe.
 
Baregu anasema mwish wa siku Uchaguzi ni namba na ana matumaini watashinda
 
Star TV wanareport kuwa kuna masanduku ya Rukwa yamepelekwa Makambako

Utaratibu upoje mwaka huu? kabla ya kuhamisha masanduku ya kura (kama hapo Makambako) kuyapeleka kwenye kituo kikuu, kura zinahesabiwa na kubandikwa kwa KILA KITUO?
 
Mgombea Udiwani wa kata ya Namtumbo amepata ajali - Star TV
 
Msemaji wa CUF anasema pamoja na kasoro ndogo ndogo uchaguzi unakwenda vizuri - TBC1

Anaelezea mapungufu yaliyojitokeza ambayo tumeshayaeleza sana katika thread hii.
 
Superman, nilikua nimepumzika ili niweze kuwajuza wengine hapo usiku jinsi hali itakavyokua inaendelea, nimerudi sasa, hope tutakesha hapa kijiweni, ila nasikitika sana sijapata updates za MBEYA, MWANZA, KIGOMA, ARUSHA NA SHINYANGA
 
...yaani leo naingia night shift hapa jf, kuhakikisha wooote tunapata matokeo, si hata wanasiasa kibao wako kwene huu mtandao saa hizi
 
Kuna mdau kapost hii: Matokeo ya Wali toka Mwanza


Counting result for president CCM Matokeo ya Rais

Sumve Sekondari A1:

CCM - 16
CHADEMA - 15
CUF - 1

Sumve Sekondari A2:

CCM - 16
CHADEMA - 19
CUF - 0

Sumve Hospital:

CCM - 42
CHADEMA - 49
CUF - 6
APPT - 1

Ukerewe Halmashauri

CCM - 74
CHADEMA - 97
CUF - 2
APPT - 2
TLP - 1
NCCR - 1
UPDP - 0

NYAMAGANA (Muhandu):

CCM - 72
CHADEMA - 66
CUF - 2
 
...yaani leo naingia night shift hapa jf, kuhakikisha wooote tunapata matokeo, si hata wanasiasa kibao wako kwene huu mtandao saa hizi

Haaa haa tuko pamoja mkuu
 
Superman, haya matokeo ninayoyaona?? nataka nichukue kalamu na daftari nianze kunakili
 
Back
Top Bottom