Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Ahh very... dispointed Dewji kachukua tena Singida mjini..
Source:Radio One
 
Hapa nilipo leo sina jipya, SUPERMAN NA PAYGOD hebu nipeni maendeleo huko, naskia mandela road - Dar wamemwaga askari kibao, sasa sijui wanalinda nini tena????
 
Jamani mbona kimya tena???? JF mko wapi? hapa nilipo siruhusiwi hata redio!!!!
 
Jamani mbona kimya tena???? JF mko wapi? hapa nilipo siruhusiwi hata redio!!!!
Kuhusu ILEMELA NA NYAMAGANA yatangazwa baada ya masaa 3, star tv, wanaogopa kutangaza
 
ilemela na nyamagana

wafuasi wa chadema wanarusha makopo, wakilalamika wamechoka kusubiri kwa masaa sita , bila matokeo kutangazwa

source ITV NOW
 
Gar ya maji ya washawasha ndo linaelekea kuwafukuza watu
 
CCM wanataka kuchezea matokeo. Ni kitu cha hatari sana. Huko Zanzibar wanataka kuchokoza nyuki.
Jamani Zanzibar wameonyesha njia, vipi kwetu huko majimbo kama Ubungo, Hai, Musoma, Kawe,Kinondoni nk nk yaani kwa ujumla ktk majimbo yote; tafadhali wapiganaji tunaomba mjumlishe kisha mtumwagiye hapa ili NEC; tuone mwelekeo; tukikaa kimya watachakachuliwa! Lakini yakishamwaga hadahari tena inwriting, watachakachua ili hali wakiogopa kuwa yamekwisha onwa
 
Kutoka Iringa,

Jimbo la Njombe Kusini...JK kapata zaidi ya 24000 na Dr Slaa kama 6000

Huko Mwanza hali bado ni tete.
 
Udiwani katika jimbo la Peramiho... CCM wamepata kata 7 na CHADEMA kata 1.

Ubunge bado...Wapo wagombea 2 tu, CCM na CUF
 
Back
Top Bottom