LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

No Benzema, Bale, Modric and Marcelo.
Real lazima wakae
 
Leo ndio tutaona jinsi Ronaldo alivyo butu....mleta mada una mbwembwe (sound like dauda).....Atletico anashinda na ww utashindwa kulamba sikio kwa ulimi.. kule kwenye sumaku na mbao kutabaki kama ulivyobashiri
 
saa mbovu asante kwa kuuliza nimepata tetesi kuwa msimu mpya timu za england zitaingia mbili badala ya nne naomba ufafanuzi asante

Ni kwamba zitaingia 4 kama kawaida lakini ile itakayo shika nafasi ya 4 itaingia kwenye mtoano kama kawaida. Ni kwamba hilo lilishafafanuliwa kwenye vyombo vya habari kuwa inapofikia muda wa miaka 4 na kuendelea na ligi husika timu zake hazifiki hatua ya robo fainali kama England mwaka huu basi ndio timu hupunguzwa kutoka 4 mpaka 3.
Hilo ndilo ninalolifahamu mkuu.
 
Chomba, hizi game za Leo c kama za Jana. Hizi ngumu. Juve na real Madrid wanafuzu kwa semi
 
Kwa 7bu tu ya ukorofi wa kijinga wa S. Ramos huwa naichukia sana Real
 
R7 tupe raha, wewe ndo kila kitu! Unaongoza kwa magoli la liga na hapa champions league fanya vitu vyako! Wasiokutakia mema acha wameze wembe!
 
Back
Top Bottom