Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #81
Binafsi nilitamani Atletico apite sio kwa sababu Real Madrid ni mbaya la hasha...
Nilitamani kushuhudia nusu fainali yenye timu zinazopiga mpira wa kitemi yaani Bayern, Atletico na Juve...
Real Madrid ya sasa hawana sumu zile za kitemi...
soka limebadilika mkuu...
yale mambo ya AC Milan VS Juve tunasubiri kuona tifuatifua ya Gattuso na Edger Davids siku hizi hayapo...
siku hizi watu wanakaa na kusubiri kuona chenga na mibio