LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

Ni kwamba zitaingia 4 kama kawaida lakini ile itakayo shika nafasi ya 4 itaingia kwenye mtoano kama kawaida. Ni kwamba hilo lilishafafanuliwa kwenye vyombo vya habari kuwa inapofikia muda wa miaka 4 na kuendelea na ligi husika timu zake hazifiki hatua ya robo fainali kama England mwaka huu basi ndio timu hupunguzwa kutoka 4 mpaka 3.
Hilo ndilo ninalolifahamu mkuu.

asante kwa ufafanuzi
 
Kiukweli leo ndio ilikuwa nafasi nzuri ya kumvua taji huyu jamaa. Sasa kwa mwendo huu huenda rekodi ya miaka 26 UCL ikavunjwa na hawa Real. Otherwise labda Bayern wapangiwe nao maana msimu huu wako fiti ukilinganisha na mwaka jana.
 
Back
Top Bottom