Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
madrid ipi?
naomba kuuliza sheria mpya ya uefa champions kuanzia msimu mpya inasemaje?
Sheria kuhusu kipengele gani?
saa mbovu asante kwa kuuliza nimepata tetesi kuwa msimu mpya timu za england zitaingia mbili badala ya nne naomba ufafanuzi asante
Chomba, hizi game za Leo c kama za Jana. Hizi ngumu. Juve na real Madrid wanafuzu kwa semi
Kwa 7bu tu ya ukorofi wa kijinga wa S. Ramos huwa naichukia sana Real
hah hah hah sasa wakiitwa wachezaji wakorofi Ramos atatoka?
nakufananisha na mtu anaitwa b5-click
munchen jana waliwakosa wakina nani na kilitokea nini?No Benzema, Bale, Modric and Marcelo.
Real lazima wakae
Madrid mkorofi ni Abdalah Pepe peke yake
hah hah hah sasa wakiitwa wachezaji wakorofi Ramos atatoka?
nakufananisha na mtu anaitwa b5-click