Waambie wasiojua kwamba hawajui.Madrid iko moja tu, hiyo nyingine antimadrista inaitwa Atletico.
Ni kwamba zitaingia 4 kama kawaida lakini ile itakayo shika nafasi ya 4 itaingia kwenye mtoano kama kawaida. Ni kwamba hilo lilishafafanuliwa kwenye vyombo vya habari kuwa inapofikia muda wa miaka 4 na kuendelea na ligi husika timu zake hazifiki hatua ya robo fainali kama England mwaka huu basi ndio timu hupunguzwa kutoka 4 mpaka 3.
Hilo ndilo ninalolifahamu mkuu.
Akuna dk 120 mambo yanaisha 90 tu leo
chicharito sio foward wa kumtegemea,amebaki kuamasisha washabiki..
chicharito sio foward wa kumtegemea,amebaki kuamasisha washabiki..
chicharito sio foward wa kumtegemea,amebaki kuamasisha washabiki..
Yoyote ipigwe tu.!
chicharito sio foward wa kumtegemea,amebaki kuamasisha washabiki..
Ronaldo ana njaa
Apewe chakula haraka ili ale, asije akafia uwanjani ghafla.
ntakurudia soka likiisha...