LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

Binafsi nilitamani Atletico apite sio kwa sababu Real Madrid ni mbaya la hasha...

Nilitamani kushuhudia nusu fainali yenye timu zinazopiga mpira wa kitemi yaani Bayern, Atletico na Juve...

Real Madrid ya sasa hawana sumu zile za kitemi...

soka limebadilika mkuu...
yale mambo ya AC Milan VS Juve tunasubiri kuona tifuatifua ya Gattuso na Edger Davids siku hizi hayapo...
siku hizi watu wanakaa na kusubiri kuona chenga na mibio
 
soka limebadilika mkuu...
yale mambo ya AC Milan VS Juve tunasubiri kuona tifuatifua ya Gattuso na Edger Davids siku hizi hayapo...
siku hizi watu wanakaa na kusubiri kuona chenga na mibio

Haahaah, na ukileta tifuatifua unatafutiwa kadi unatulia zako pembeni.
 
Kumbe antimadridsta mpo wengi hivi. Na mwaka huu rekodi inavunjwa, nina hamu tupangiwe barcelona ili tumtoe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…