NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto wawili.
Wengine wanaishi hivi hivi wanakuja kuoana uzeeni kama Mbunge Deo Sanga aliyeish na mwenzake kwa miaka 40 wamefunga ndoa hapo majuzi, wengine wanaishi hivi hivi mpaka kifo.
Nini chanzo?
Wengine wanaishi hivi hivi wanakuja kuoana uzeeni kama Mbunge Deo Sanga aliyeish na mwenzake kwa miaka 40 wamefunga ndoa hapo majuzi, wengine wanaishi hivi hivi mpaka kifo.
Nini chanzo?