ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani leo nilijua ni mmoja wenu anakaangwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani leo nilijua ni mmoja wenu anakaangwa
Malengo yako ni yepi nani ni model wako!Hahaaa mchokozi wee nitaachika mwenzako akipita hapa! Mimi nawakubali sana wote! Miongoni mwao ni Tized Numbisa na Heaven on earth walinifanya nikajiunga Jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakugawa bure yani wewe umeshindikana
Kama ningekua sijaolewa ningefunga na kuomba nimpate Tized ananifurahisha sana[emoji124]Matapeli tu acha kulemba!
Unavutia zaid na nani humu.taja watatu
Unaweza date na nani humu
DJ sepetu
Naanza naeLeo ukhuty ndo mpiga kelele
Mangi anasema zimeisha ana viroba tuUsijali mwambie mangi akupe pepsi[emoji23] [emoji23]
WoyoooooKama ningekua sijaolewa ningefunga na kuomba nimpate Tized ananifurahisha sana[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niamin mpenz narudia tena ole wake[emoji123][emoji123][emoji123][emoji85][emoji85][emoji85]nasemaHahaaaaaaa we sikuamini hata kidogo
Hapa anaweza akasahau...wewe ukimaliza tu nishtue nije niulize mawili matatuUliza tu mkuu ila atajibu later
DJ sepetu
Hahahah nimefurahishwa mpenz siwajua tenaLeo ukhuty ndo mpiga kelele
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasema ole wake shunie na linamo njooni[emoji24][emoji24][emoji24]Yule Nilimuona nikala kona kwanza
Binafsi malengo yangu ni kuwa mfanyabiashara mkubwa! Mwenye kusaidia watu hapo sina role model!Malengo yako ni yepi nani ni model wako!
Magufuli au kikwete
DJ sepetu
Hahaha hamna! Afu nitapigwa mwenzenu hata kumwona sijawahiWoyooooo
Alishakujia ndotoni eeehh
Umeichoka amani eeehh[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasema ole wake shunie na linamo njooni[emoji24][emoji24][emoji24]
Apone harakaBinafsi malengo yangu ni kuwa mfanyabiashara mkubwa! Mwenye kusaidia watu hapo sina role model!
Kwasasa role model wangu ni huyu rais wa TLS
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitamwambia kwa kweeeli, we sema tu kitaishia hapa hapa mwaya
He heh....
Shoga wew shunieeeeeeeeee sina wasi sakayo upo na linamoooooooo mje jamani kukiharibika huku[emoji1][emoji1]Umeichoka amani eeehh