Live kutoka kuzimu!

Mnatuchanganya sasa, Biblia inasema shetani kafungwa kuzimu, huku nako tunaambiwa shetani anapiga kazi kama kawaida!
 
Soma warumi 8:11
Roman 8:11 If the spirit of him who raised Jesus from the dead dwells in you,
he who raised Christ Jesus from the dead will also give life to your
mortal bodies through his Spirit who dwells in you.
 
Warumi 1:2 "Kwa maana waliibadili kweli Ya Mungu kuwa uwongo"...Mkuu unachofanya hapa Ni kibadili kweli kuwa uwongo
 
Soma Na 1 Corinthians 2:11
1 Corinthians 2:11 For who knows a Person's thoughts except the spirit of that person
which is in him? so also no one comprehends the thoughts of God
except the spirit of God.
 
Mkuu usiwadanganye watu...Ni wapi pameandikwa kuwa anania Na safira walivunja maombi Ya mapatano Ni wapi wameandika roho mtakatifu aliwasaidia kuuza shamba?????......bible inasema katika kitabu cha malaki leteni Zaka kamili ili kiwemo chakula katika nyumba Ya Bwana.........anania Na safira walitenda dhambi Ya kumdanganya roho mtakatifu hawakupeleka Zaka kamili walibania walipeleka nusu nusu wakabaki nayo wakati haikupaswa hivo walipaswa watoe Zaka yote....no dhambi kubwa sana kutotoa au kutoa nusu fungu la Mimi Sababu hapo unamuibia Mungu Na katika Amri Kumi za Mungu Amri Ya 7 inasema usiibe
 
Mnatuchanganya sasa, Biblia inasema shetani kafungwa kuzimu, huku nako tunaambiwa shetani anapiga kazi kama kawaida!
Shetani kafungwa kuzimu Ila anatenda kazi Kwa kutumia mawakala wake ambao Ni Miungu,wachawi ,waganga,mapepo
 
1 Corinthians 2:11 For who knows a Person's thoughts except the spirit of that person
which is in him? so also no one comprehends the thoughts of God
except the spirit of God.
Tumia kiswahili. Mada imeletwa Kwa kiswahili🙏
 
Wewe Acha hizo mtoa maada anaelezea watu Devil Kingdom badala ya kuelezea God kingdom?
huu upuuzi ndio unafanya watu wawe na ufahamu wa Shetani zaidi
badala ya kua na ufahamu wa Kiungu ambao kwayo ukiujua vema unakua huna haja ya kubabaika na huyo mshamba shetani wa kupuuzwa, unavyo zidi msoma na kupata ufahamu juu yake Moyo wako unaingia kazini kuchakata taarifa mbaya zaidi kumhusu
kumbuka Imani ni kuchukua hatua ya kile unachokiamini then Moyo unapokea taarifa na kukupa udhihilisho wa kile unachoamini na sio unachokitaka,

maandiko yanaposema mpingeni Shetani yanamaanisha ni kumpuuza automaticaly na kumshusha rank ya mwisho kuliko kiumbe chochote na hata usifuatilie habari zake mbaya japo kuna muda atatolewa mfano ila ni mfano mbaya.

Note: Shetani anapingwa kwa NENO na sio maneno ya kilokole ndugu kama toka,moto,fire na upuuzi mwingine tumepewa Jina la Yesu hilo ukilitaja kumkemea kwenye jambo lolote anatii haijalishi mazingira
 
Mnatuchanganya sasa, Biblia inasema shetani kafungwa kuzimu, huku nako tunaambiwa shetani anapiga kazi kama kawaida!
Shetani alipoasi Mbinguni alibadilishiwa Jina Kutoka Lucifer Hadi kuwa Ibilisi na shetani baba wa Kila UOVU na DHAMBI duniani.

Malaika walioasi naye pia wapo wamefungwa katika vifungo vya Giza,

Kifungo walichofungwa ni kuwekewa mipaka ya operations za KAZI zao huko walipo na hapa Duniani.

Ikitokea shetani na Malaika zake wameachiwa waoprrate bila kupigwa pin, Wana uwezo kuichoma Dunia Kwa dakika na ikapotea.

Kuna Malaika 4 wenye nguvu walioasi pamoja na shetani, wamefungwa Mto frati na hao imeandikwa watafunguliwa baada ya WATAKATIFU kunyakuliwa.

Utaona kuwa Mungu ndiye director wa Kila kinachoendelea Mbinguni na duniani na Mahali kote.

Shetani aliruhusiwa amjaribu Adam na Eva Eden, akaja kama nyoka while Yeye binafsi alikuwa kifungoni. Roho ilitoka ndani yake kuja kama nyoka kumjaribu Hawa.

Hapo hapo shetani aliruhusiwa kumjaribu Yesu jangwani nk nk

Hapo hapo Shetani alikuja na akawa mfalme kabisa kama mtu katika Nchi ya Tiro, yaani mwonekano ni WA mtu lakini ni shetani in spirit 100%.

Mungu pia alishuka na kuwa mtu akawa mfalme wa Salemu, Maandiko yasema, alikuwa mfalme na aliitwa Melkzedeki. Ibrahim akamlipa fungus la kumi na sadaka nyingi. Alikuwapo duniani na Mbinguni alikuwepo.

Shetani pia anaweza kuwapo kuzimu na akawepo duniani pia.

Usichojua ni kuwa ndani ya dhamiri ya Kila mwanadamu baada ya Adam kuasi, Roho ya shetani Huwa IPO upande wa kushoto ikikushauri utende mabaya.

Ndani ya dhamiri Yako pia jua yupo Mungu upande wa kulia ambaye hukukataza usifanye mabaya.

Kwa ufupi Roho hazina limit katika operation, mchawi anaweza kuwepo nyumbani, lakini wakati huo huo akawepo shambani Kwa msaada wa mapepo.

Pia aliyeokoka, anaweza kuongea na aliyeokoka mwenzie live katika Roho, anaweza kuwa Marekani na akawepo Tanzania kuona Kila kitu na kufanya KAZI katika Roho eneo jingine live Kwa msaada wa Mungu.

Lakini Kwa ujumla, Mungu ndiye aliye juu ya yote, Mwenye nguvu na uweza wote.

Libarikiwe Jina lake.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Aamen.
 
Tumia kiswahili. Mada imeletwa Kwa kiswahili🙏

acha kuchanganya Torati na Neema ndugu halafu soma hicho kisa chote uelewe chanzo cha wao kufanya hivyo
hicho kisa ndio pekee kwenye Agano jipya Roho Mtakatifu kafanya action live na hakuna pengine popote na hiyo haikua sadaka kama sadaka za agano la kale bali kipindi ambacho Mitume wanafanya huduma kwa mataifa na watu walijitoa kwa Moyo wote kusaidia kanisa la kwanza,
ukisoma hicho kisa unaona kwamba hao wahusika hawakulazimishwa kutoa ila kosa ilikua ni kuchukua hatua ya kukubali then wana geuka huo ulikua zaidi ya usaliti kumbuka watu walikua kwenye dhiki na kujitoa kufanya kazi ya Injili ndio maana Petro alikasirika na kuwahoji kwanini wasingekua wawazi toka mwanzo sababu mali ilikua ni yao!

Bible code inawapiga chenga acheni kusoma nusu nusu elewa content ya andiko!
 
Mfalme wa TYRE aliitwa Hiram huyu ni moja kati ya Wafalme tata kuwahi exist
kama alikua Shetani ilikuaje alishiriki kujenga Hekalu la Mungu?
na inaonekana alitawala miaka mingi sana yapata semekana alikua Kerubi
jamaa alikuwepo Daudi anapata ufalme Daudi alikua mshkaji wake then Daudi akazeeka jamaa bado yupo na baadae akafa akampa Ufalme mwanae Suleiman jamaa ndio akawa rafiki yake mkubwa sana na wakashirikiana kujenga HEKALU inaonekana Suleiman alizeeka na kufa na akamwacha jamaa bado ni mfalme wa Tiro na unabii wa kuanguka kwake ulitolewa na mmoja wa manabii waliokuja miaka mingi mbele
jamaa alikua imortal huyu ngoja nisake historia yake kwenye makabrasha nitaileta humu jamvini!
 
HOJA iliyopo mezani ni kuwa Unaweza kuwa umeokoka, ukirudi dhambini, na ukafa bila kutubu, utatupwa KUZIMU ya moto!!

Anania na Safira walikuwa wameokoka, walipotenda dhambi Roho MTAKATIFU aliwaua na wapo kuzimu ya moto.

Na mada mezani ni kuwaarifu wanaolikiri Jina la YESU, waliookoka wadumu katika Maisha ya utakatifu Ili wasidumu dhambini wasijekataliwa na kutupwa KUZIMU ya moto.

Pia Ujumbe unawaasa wasiomkiri kristo, wajue kuwa bila TOBA na kumkiri Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yao, bila kuacha DHAMBI nilizojaribu kuainisha Kwa uchache na zingine watavyojulishwa Roho mtakatifu ndani Yao, watatupwa kuzimu ya moto.

Zimebaki siku chache Kanisa kunyakuliwa, pia Kwakuwa mtu akifa hakuna nafasi ya kutubu Yesu analeta jumbe Kali Kwa watu Si kuwatisha Bali kuwasaidia wasipumbazwe na kufia dhambini Kisha kutupwa KUZIMU ya moto.

Hii ni INJILI. Kila mtumishi kapewa nafasi yake kuhubiri, Si wote hufanya KAZI ya aina moja.

Pia chunga kupinga usichojua usijekuta unatumiwa na Roho ya mpinga kristo.

Ingia maombini ujue ikiwa ujumbe huu ni ni wake Yesu kupitia watumishi wake au la!!

Paulo pia aliua WATAKATIFU akidhani anampendeza Mungu kumbe alikuwa anamtumikia Shetani bila kujua.

Amen
 
Uko shallow ktk maandiko, nimekwambia Mfalme wa Tiro alikuwa Shetani kabisa aliyevaa mwili, wewe unaishiankusema Immortal.

Si vyema tubishane, Ni vizuri ukamruhusu Roho mtakatifu atawale kinywa chako.

Wengi sana wanasaidika na niyaandikayo.

Nakusihi🙏
 
acha story za kilokole wewe hakuna unyakuo kwa Watakatifu ila kwa waovu acha ujinga budda soma maandiko vema hakuna pahali pameandikwa kuna unyakuo kama upo lete andiko nikupe andiko la watakatifu kuishi maisha ya milele hapa hapa Duniani!
 
Lete andiko la mfalme wa Tiro kua Shetani mimi sijawahi liona na ndio maana sijakubishia nimeeleza kile nimeexperience kwenye maandiko kumhusu Hiram mfalme wa Tiro kuishi miaka mingi hilo la kua shetani ndio nasikia kwako kamanda!
 
acha story za kilokole wewe hakuna unyakuo kwa Watakatifu ila kwa waovu acha ujinga budda soma maandiko vema hakuna pahali pameandikwa kuna unyakuo kama upo lete andiko nikupe andiko la watakatifu kuishi maisha ya milele hapa hapa Duniani!
UNYAKUO imeandikwa katika BIBLIA .

Pia WANADAMU kurudi kuishi Nchi mpya na Mbingu mpya duniani imeandikwa.

Kuyafafanua hayo, unamhitaji Roho mtakatifu.

Tofauti na nayo, utavamiwa na Roho ya mpinga kristo.
 
Wala huhitaji kupanick....Haya Ni mafunuo (revelations)... Mbona kitabu cha ufunuo kimeelezea kabisa siku Ya mwisho itakavokua,imeelezea habari za joka (ibilisi)Na mambo mengine mengi hata mambo Ya ufalme wa Giza bible imeelezea...usibishe
 
Ndio maana nimesema mna shida,ufalme wa Mungu unatangazwa wenyewe kama ulivyo,ukiufaham huo inatosha kuokoka,hakuna mtu atakayeokolewa kwa kuwa mjuzi wa kazi za shetani,ninyi ni wajuzi wa kazi za shetani,hata zileteni maana huwa ni tamu sana masikioni ila hazina wokovu wowote kuzijua.

Waonaje,hayo maandishi yote mleta mada angeleta habari njema za mbinguni?,badala ya kuanza kutunga uongo wa kiwango cha phd eti roho zina ulimi,roho zina macho,roho zina tumbo,wakati Masihi alisema wazi roho haina nyama wala mifupa,nimeuliza swali hilo hakuna aliyeweza kujibu!

Eti kuzimu kuna blenda ya kusaga watu,acheni ujinga basi,sio kwa utopovu huo,bahati mbaya zaidi hamtaki kuomba Mungu awape maarifa sahihi mnajiona mko sawa.

huyo Masihi muda mwingi alitumia kuhubiri kuhusu ufalme wa Mungu sio wa shetani,ninyi mko kinyume chake.
 
Hapa kuna ID mbili za mtu mmoja zinapiga kazi ya kusapoti upumbavu!

Kama wewe ni mkweli chukua kitabu tu kinatosha simama na ukweli huo,acha kupoteza watu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…