Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Samahani jamaa yangu hicho anachokisema Rabon ni tofauti kabisa na ushuhuda wako,
Rabon yeye anachokiongelea hapo ni hukumu ya moja kwa moja kwa hao
watendao hayo baada ya kufa👁️👁️Ila kwa upande wako ww hujasema kuwa labda ulijitahidi kuiacha hiyo tabia, ila ni kwa neema tu na ya Mungu tukajikuta unaacha si kwa juhudi zako
Kwa hiyo Mungungu asingekutoa huko kwenye hiyo tabia kwa hivyo unakiri baada ya kufa ungeenda motoni si ndiyo?
Haya kwa huyu mtoto muangalia katuni? Anakufafa Sasa bila hata kujua kama ilikuwa ni kosa kuangalia katuni anaenda motoni si ndiyo?
Swali kwa nini Mungu hakumuepusha huyu mtoto na kuangalia katuni na moto baada ya kufa na akuepusha wewe mpiga punyeto na moto baada ya kufa?
Tunaishi chini ya Neema ya Mungu katika Kristo Yesu. Hivyo hatupaswi kuhukumiana wala kujihukumu tulishasamehewa yote hakuna cha moto wala nn?
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
 
Pia Rabbon ni tofauti na Rabon, nenda edit.
 
Umemaliza hapo chini kuwa "hakuna Cha Mto Wala nn"

KUZIMU ni HALISI na Moto kuzimu Si hadithi.

Majuto Huwa ni mjukuu!!
 
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Shida ni mtazamo wa kimaandiko
Naamini mtazamo wako unatokana na maandiko yaliyomo kwenye bibilia, si ndiyo?
Hata mimi nasoma maandiko hayo hayo lakini inawezekana kwa mtazamo tofauti na wa kwako hasa kwenye maeneo ya dhambi hukumu, mwisho wa Dunia na uzima wa milele
 
Ndo nakwambiaje, kuielewa BIBLIA ni Hadi upate msaada wa Roho mtakatifu.

KUZIMU ni HALISI, na watu wanateswa kule.
 
elewa hilo andiko liliwalenga Wayahudi ambao toka mwanzo walipewa neema ya Kristo wakaikataa na wakaendelea kukumbatia Torati na sheria hao ndio watakao tupwa nje na hao wengine ni Mataifa waliompokea Yesu kua YEHOVA wataurithi ufalme wa MUNGU na hapo hakuna jambo la kimwili linaungumziwa hapo ndugu

hivi kwanini Bible code inawapiga chenga hivi?
ukipata Neema ya Kristo just ones hautapotea milele na hata ukipotea kuna kisa cha mwana mpotevu na mchungaji mwema ambaye yupo radhi kuacha wengine wote na kukutafuta mpaka urudi zizini
nakuambiaje
chini ya Yesu hakuna mtu atapotea wote wataokolewa na pia
na habari njema kwako ukiokoka wewe utakua umeokoa familia yako yote!
hata kama wanao ni majangili wataokolewa kwa ile ahadi ya mzao wa Abrahamu yaani Yesu Kristo!

hii ndio injili inayopaswa kuhubiriwa kwa watu wote!
Yesu alisharudi zamani sana siku ya Pentecoste hawezi rudi mara ya tatu
pili hakuna unyakuo kwa watakatifu ila kwa Waovu kama wewe umezaliwa mara ya pili na unatarajia Yesu arudi kwa unyakuo nakupa pole sana sababu utakua sio wa kwanza kua fool wa maandiko walikuwepo wenzako kina William Miller,Ellen White,Kibwetele na juzi juzi Mackenzie wote waliwaingiza waumini wao chaka kwa kutojua maandiko na
Biblica code
kiufupi unahitaji upate mafundisho sahihi tatizo lenu sijui mnasomaje Bible!
Jambo la muhimu hapa Ni kwamba unahitaji msaada wa kiroho, Jambo hili linahitaji Muda yaani hatua kwa hatua. Unashauriwa uweke Nia katika kujifunza na kutafakari neno la Mungu.

Ni dhahiri shetani amekudanganya kwamba unachojitaji wewe Ni kuamini tu lakini Mambo mengine unaweza kuendelea na utaurithi ufalme wa Mungu (Kama kuiba iba, ua, roga Sana, uzinzi kwa wingi nk).

Ni kweli wote walio chini ya Yesu hakuna atakayepotea, lakini pia chini ya Yesu hakuna wachawi,wazinzi, waasherati, wauaji, waabuduo sanamu, wasengenyaji, wafiraji, waongo nk. Wote walio chini ya Yesu siyo tu wameamini lakini pia walitubu na kuacha matendo yao ya kale.
Mfano Yesu wakati ameletewa yule mwamanke aliyekamatwa akizini alimwambia "enenda zako usitende dhambi Tena".

Siyo kweli kwamba ukiokoka wewe Basi na mtoto wako jambazi, shoga na mwizi nae hatahukumiwa kwa matendo yake.
Mwisho: imeandikwa
"Mit 4:24
Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe."
 
elewa hilo andiko liliwalenga Wayahudi ambao toka mwanzo walipewa neema ya Kristo wakaikataa na wakaendelea kukumbatia Torati na sheria hao ndio watakao tupwa nje na hao wengine ni Mataifa waliompokea Yesu kua YEHOVA wataurithi ufalme wa MUNGU na hapo hakuna jambo la kimwili linaungumziwa hapo ndugu

hivi kwanini Bible code inawapiga chenga hivi?
ukipata Neema ya Kristo just ones hautapotea milele na hata ukipotea kuna kisa cha mwana mpotevu na mchungaji mwema ambaye yupo radhi kuacha wengine wote na kukutafuta mpaka urudi zizini
nakuambiaje
chini ya Yesu hakuna mtu atapotea wote wataokolewa na pia
na habari njema kwako ukiokoka wewe utakua umeokoa familia yako yote!
hata kama wanao ni majangili wataokolewa kwa ile ahadi ya mzao wa Abrahamu yaani Yesu Kristo!

hii ndio injili inayopaswa kuhubiriwa kwa watu wote!
Uko sawa
 
Ndo nakwambiaje, kuielewa BIBLIA ni Hadi upate msaada wa Roho mtakatifu.

KUZIMU ni HALISI, na watu wanateswa kule.
Ni kweli Lakini tumepewa akili pia
Kama wale wa zamani hawakuelewa kizazi hiki tuko huru kuhoji kuliko kupelekwa tu kama bendera
Tuliwekwa huru mazima siyo nusu nusu
So Lazima tuijue Kweli Mungu
 
Hizo kuzimu zilianza baada ya dini kuletwa Africa au kabla.
Kama ni hivyo wazee wetu walioishi miaka 3000 iliopita hizo kuzimu zinawahusu?
Miaka 4000 iliopita wewe ulikuwa wapi?
Kuna watu wapo misitu ya Amazon ambapo hakuna mtu alie wahi fika kuonana nao, je kuzimu kuna wahusu ?
Bush men wa Tanzania wanaojua pori tu kuzimu na hizo habari zinawahusu?
 
Live ukiwa na maana gani?
Kwamba ulikufa?
Au ulienda kuzimu ukiwa hai?
Kama ulienda kuzimu ukiwa hai, ulijuaje kama hiyo ni kuzimu sio kwamba ulikuwa unaweweseka?
Sifa za kuzimu ni zipi?

Wewe uliweza kutofautisha kwa kutumia kigezo gani?
Angebeba na kamera ingekuwa nzuri zaidi, angetuletea tupivha twa sherani.
Watu wakifa wanajiozea zao halafu kuzimu kuna watu waliokufa.
 
Lete uthibitisho kama njia ni nyembamba?
Umejuaje kama njia ni nyembamba?
Ulitumia vigezo gani kufikia kuwa njia ni nyembamba?

Ulijuaje huko Kuna njia?
Hiki si kigezo Cha binadamu?
Vipi kama njia sio Pana Wala nyembamba au hakuna kabisa maana ni stori za kufikirika?

Hakuna hicho kitu unachojaribu kukileta hapa, ni Bora tuwaze vitu constructive vitakavyo Jenga kesho ya binadamu.
Wanasahsu hii dunia jatika uasili wske ni mawe, misitu, mito. Wanafananisha huko na bara bara alizotengeneza binadamu huku duniani.
 
INTRODUCTION.

Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.

MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,

KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,

Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.

Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.

AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.

1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.

2. Misukule.

Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.

Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.

AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.

1. KUZIMU KAVU.

Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,

Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.

2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.

Mahala hapa, binadamu mchawi hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.

Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.

Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.

3. KUZIMU YA MOTO.

Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,

WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.

Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.

Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.

TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.

Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,

Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.

Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.

1. IDARA YA WACHORA TATOOS!

Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.

Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.

Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,

Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.

Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.

Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.

Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.

2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.

Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.

Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.

Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.

Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,

Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,

Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,

Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.

3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.

Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,

Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.

Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.

4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.

Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.

Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,

Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,

Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,

Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.

ITAENDELEA...........
ndugu naomba kuuliza kwa mujibu wako kila dhambi ina adhabu yake kama ulichora tatoo unapata unachostahili, ulikua shoga unapata unachostahili, hadi waangalia cartoon mh; hawa wanaotoa adhabu ni timu ya Mungu au shetani? hao watu watenda dhambi wa dunia wanaenda huko na miili yao, ile wanayozikwa nayo duniani au miili gani, kwakua itaendelea ngoja nisubiri, ivi wale wanaoenda na dhambi labda ya wizi si watakua wanapigwa fimbo sana huko zaidi ya wanavyopiga polisi wa bongo huko? au uliona kitu gani?
 
Ukiweza kutofautisha MWILI, NAFSI na ROHO utakuwa ktk position nzuri zaidi kujua kuzimu inaadhibiwa miili aina gani.

UBARIKIWE.

Live Kutoka kuzimu ITAENDELEA........
 
Ukiweza kutofautisha MWILI, NAFSI na ROHO utakuwa ktk position nzuri zaidi kujua kuzimu inaadhibiwa miili aina gani.

UBARIKIWE.

Live Kutoka kuzimu ITAENDELEA........
tafadhali naomba hiyo elimu
 
tafadhali naomba hiyo elimu
Mungu alimuumba Mtu kwanza kabla ya kuchukua udongo na kuufinyanga.

Ukisoma kitabu Cha mwanzo, utaona niyasemayo. Mzo 1:27. Mwanamke na Mwanaume waliumbwa katika Roho bila miili ya udongo.

In other words, Mtu (ROHO)alikuwa ndani ya Mungu milele kabla ya kupulizwa ndani ya udongo.

Na mtu huyo ndiye ROHO. Ndipo utaona imeandikwa, na Tuumbe mtu Kwa Mfano wetu. Mungu Hana mwili wa udongo afanane nao, mfano wa Mungu ni ROHO ambaye ndiye mtu.

Sasa mtu ambaye ni ROHO alipoingia ndani ya udongo ambao ni mwili, kikazaliwa kitu kinachoitwa NAFSI.

Katika lugha ya kiswahili, NAFSI inaitwa Roho, na Roho inaitwa Roho wakati ni vitu viweli tofauti.

Kiingereza kina upana katika tafsiri,

NAFSI inaitwa SOUL, wakati ROHO inaitwa Spirit.

Sijui tunaenda pamoja niendelee na Elimu? maana imebidi niongee kama mwalimu darasani.
 
tafadhali naomba hiyo elimu
NAFSI/ SOUL ni nini?

NAFSI Ina vitu vikuu vitatu,

1. AKILI. 2. HISIA 3. WILL ambayo inatafsirika ni uwezo wa kufanya maamuzi.

Mtu anapokufa au Mwili inapojitenga, nini hubaki kaburini, na kipi huenda wapi.

Ni hivi. Mwili ukitengwa na Roho na NAFSI,

Mwili hubaki pekeake, while Roho(Spirit) na SOUL NAFSI huw pamoja.

Ndipo hapo Kuna andiko lisemalo WAFU hawajui chochote, anaongelea mwili wa udongo. Ambao huoza.

Soul na Spirit ambamo Kuna akili hisia na Will ,Ule uwezo wa kufanya maamuzi ndivyo hutupwa Jehanum ya moto.

Nimesema katika Soul au NAFSI Kuna hisia,

Na hisia ndimi Kuna maumivu, huzuni ,furaha, kilio, kicheko nk nk

So kuzimu NAFSI ikiteswa kiroho inasikia, inaumia na Kila kitu inasikia.

Naomba kujua ikiwa nimekuacha mahala nirudi kuelewesha.

Maana naongea neno katika Roho, nahitaji Roho yangu na Yako viungane tuelewane katika Ulimwengu huo.

Ubarikiwe.
 
tafadhali naomba hiyo elimu
Mtu ni dhaifu sana akiwa ndani ya udongo ambao ni mwili,

Lakini akitoka nje ya mwili, mtu ni dude kubwa sana. Shetani hupambana sana Ili mtu asijitambue Yeye ni nani na ana uwezo Gani!!

Uumbaji uko ndani ya mtu.

Ndomana Yesu alitushagaa WANADAMU aliposema kama hamuwezi kuongeza siku zenu za kuishi Kwa kujishughulisha tu,

Mtawezaje kuuambia mlima huu ng'oka ukatupwe Baharini.

Imeandikwa, kumjua Mungu ndicho chanzo Cha maarifa na ufahamu,

Shetani huwapumbaza WANADAMU ktk kuhangaikia tumbo na starehe Ili washindwe kuconnect na Mungu ambaye tulikuwa ndani yake milele kabla ya kuingia katika miili.

Sijui unanisoma?
 
Mtu ni dhaifu sana akiwa ndani ya udongo ambao ni mwili,

Lakini ikitokea nje ya mwili, mtu ni dude kubwa sana. Shetani hupambana sana Ili mtu asijitambue Yeye ni nani na ana uwezo Gani!!

Uumbaji uko ndani ya mtu.

Ndomana Yesu alitisha gaa WANADAMU aliposema kama hamuwezi kuongeza siku zenu za kuishi Kwa kujishughulisha tu,

Mtawezaje kutuambia mlima huu ngoja ukatupwe Baharini.

Imeandikwa, kumjua Mungu ndicho chanzo Cha maarifa na ufahamu,

Shetani huwapumbaza WANADAMU ktk kuhangaikia tumbo na starehe Ili washindwe kuconnect na Mungu ambaye tulikuwa ndani yake milele kabla ya kuingia katika miili.

Sijui unanisoma?
asante kwa elimu.
 
Back
Top Bottom