Live kutoka kuzimu!

Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
 
Pia Rabbon ni tofauti na Rabon, nenda edit.
 
Umemaliza hapo chini kuwa "hakuna Cha Mto Wala nn"

KUZIMU ni HALISI na Moto kuzimu Si hadithi.

Majuto Huwa ni mjukuu!!
 
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Aliye hai anaweza kutubu na kusamehewa na kuepuka Kuzimu.

Lakini aliyekwisha kufa, hawezi samehewa tena.

Ujumbe ni Kwa Walio hai, Walio kuzimu ya moto ni reference tu Ili Walio hai wasipite njia hiyo.

Amen
Shida ni mtazamo wa kimaandiko
Naamini mtazamo wako unatokana na maandiko yaliyomo kwenye bibilia, si ndiyo?
Hata mimi nasoma maandiko hayo hayo lakini inawezekana kwa mtazamo tofauti na wa kwako hasa kwenye maeneo ya dhambi hukumu, mwisho wa Dunia na uzima wa milele
 
Ndo nakwambiaje, kuielewa BIBLIA ni Hadi upate msaada wa Roho mtakatifu.

KUZIMU ni HALISI, na watu wanateswa kule.
 
Jambo la muhimu hapa Ni kwamba unahitaji msaada wa kiroho, Jambo hili linahitaji Muda yaani hatua kwa hatua. Unashauriwa uweke Nia katika kujifunza na kutafakari neno la Mungu.

Ni dhahiri shetani amekudanganya kwamba unachojitaji wewe Ni kuamini tu lakini Mambo mengine unaweza kuendelea na utaurithi ufalme wa Mungu (Kama kuiba iba, ua, roga Sana, uzinzi kwa wingi nk).

Ni kweli wote walio chini ya Yesu hakuna atakayepotea, lakini pia chini ya Yesu hakuna wachawi,wazinzi, waasherati, wauaji, waabuduo sanamu, wasengenyaji, wafiraji, waongo nk. Wote walio chini ya Yesu siyo tu wameamini lakini pia walitubu na kuacha matendo yao ya kale.
Mfano Yesu wakati ameletewa yule mwamanke aliyekamatwa akizini alimwambia "enenda zako usitende dhambi Tena".

Siyo kweli kwamba ukiokoka wewe Basi na mtoto wako jambazi, shoga na mwizi nae hatahukumiwa kwa matendo yake.
Mwisho: imeandikwa
"Mit 4:24
Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe."
 
Uko sawa
 
Ndo nakwambiaje, kuielewa BIBLIA ni Hadi upate msaada wa Roho mtakatifu.

KUZIMU ni HALISI, na watu wanateswa kule.
Ni kweli Lakini tumepewa akili pia
Kama wale wa zamani hawakuelewa kizazi hiki tuko huru kuhoji kuliko kupelekwa tu kama bendera
Tuliwekwa huru mazima siyo nusu nusu
So Lazima tuijue Kweli Mungu
 
Hizo kuzimu zilianza baada ya dini kuletwa Africa au kabla.
Kama ni hivyo wazee wetu walioishi miaka 3000 iliopita hizo kuzimu zinawahusu?
Miaka 4000 iliopita wewe ulikuwa wapi?
Kuna watu wapo misitu ya Amazon ambapo hakuna mtu alie wahi fika kuonana nao, je kuzimu kuna wahusu ?
Bush men wa Tanzania wanaojua pori tu kuzimu na hizo habari zinawahusu?
 
Live ukiwa na maana gani?
Kwamba ulikufa?
Au ulienda kuzimu ukiwa hai?
Kama ulienda kuzimu ukiwa hai, ulijuaje kama hiyo ni kuzimu sio kwamba ulikuwa unaweweseka?
Sifa za kuzimu ni zipi?

Wewe uliweza kutofautisha kwa kutumia kigezo gani?
Angebeba na kamera ingekuwa nzuri zaidi, angetuletea tupivha twa sherani.
Watu wakifa wanajiozea zao halafu kuzimu kuna watu waliokufa.
 
Wanasahsu hii dunia jatika uasili wske ni mawe, misitu, mito. Wanafananisha huko na bara bara alizotengeneza binadamu huku duniani.
 
ndugu naomba kuuliza kwa mujibu wako kila dhambi ina adhabu yake kama ulichora tatoo unapata unachostahili, ulikua shoga unapata unachostahili, hadi waangalia cartoon mh; hawa wanaotoa adhabu ni timu ya Mungu au shetani? hao watu watenda dhambi wa dunia wanaenda huko na miili yao, ile wanayozikwa nayo duniani au miili gani, kwakua itaendelea ngoja nisubiri, ivi wale wanaoenda na dhambi labda ya wizi si watakua wanapigwa fimbo sana huko zaidi ya wanavyopiga polisi wa bongo huko? au uliona kitu gani?
 
Ukiweza kutofautisha MWILI, NAFSI na ROHO utakuwa ktk position nzuri zaidi kujua kuzimu inaadhibiwa miili aina gani.

UBARIKIWE.

Live Kutoka kuzimu ITAENDELEA........
 
Ukiweza kutofautisha MWILI, NAFSI na ROHO utakuwa ktk position nzuri zaidi kujua kuzimu inaadhibiwa miili aina gani.

UBARIKIWE.

Live Kutoka kuzimu ITAENDELEA........
tafadhali naomba hiyo elimu
 
tafadhali naomba hiyo elimu
Mungu alimuumba Mtu kwanza kabla ya kuchukua udongo na kuufinyanga.

Ukisoma kitabu Cha mwanzo, utaona niyasemayo. Mzo 1:27. Mwanamke na Mwanaume waliumbwa katika Roho bila miili ya udongo.

In other words, Mtu (ROHO)alikuwa ndani ya Mungu milele kabla ya kupulizwa ndani ya udongo.

Na mtu huyo ndiye ROHO. Ndipo utaona imeandikwa, na Tuumbe mtu Kwa Mfano wetu. Mungu Hana mwili wa udongo afanane nao, mfano wa Mungu ni ROHO ambaye ndiye mtu.

Sasa mtu ambaye ni ROHO alipoingia ndani ya udongo ambao ni mwili, kikazaliwa kitu kinachoitwa NAFSI.

Katika lugha ya kiswahili, NAFSI inaitwa Roho, na Roho inaitwa Roho wakati ni vitu viweli tofauti.

Kiingereza kina upana katika tafsiri,

NAFSI inaitwa SOUL, wakati ROHO inaitwa Spirit.

Sijui tunaenda pamoja niendelee na Elimu? maana imebidi niongee kama mwalimu darasani.
 
tafadhali naomba hiyo elimu
NAFSI/ SOUL ni nini?

NAFSI Ina vitu vikuu vitatu,

1. AKILI. 2. HISIA 3. WILL ambayo inatafsirika ni uwezo wa kufanya maamuzi.

Mtu anapokufa au Mwili inapojitenga, nini hubaki kaburini, na kipi huenda wapi.

Ni hivi. Mwili ukitengwa na Roho na NAFSI,

Mwili hubaki pekeake, while Roho(Spirit) na SOUL NAFSI huw pamoja.

Ndipo hapo Kuna andiko lisemalo WAFU hawajui chochote, anaongelea mwili wa udongo. Ambao huoza.

Soul na Spirit ambamo Kuna akili hisia na Will ,Ule uwezo wa kufanya maamuzi ndivyo hutupwa Jehanum ya moto.

Nimesema katika Soul au NAFSI Kuna hisia,

Na hisia ndimi Kuna maumivu, huzuni ,furaha, kilio, kicheko nk nk

So kuzimu NAFSI ikiteswa kiroho inasikia, inaumia na Kila kitu inasikia.

Naomba kujua ikiwa nimekuacha mahala nirudi kuelewesha.

Maana naongea neno katika Roho, nahitaji Roho yangu na Yako viungane tuelewane katika Ulimwengu huo.

Ubarikiwe.
 
tafadhali naomba hiyo elimu
Mtu ni dhaifu sana akiwa ndani ya udongo ambao ni mwili,


Lakini akitoka nje ya mwili, mtu ni dude kubwa sana. Shetani hupambana sana Ili mtu asijitambue Yeye ni nani na ana uwezo Gani!!

Uumbaji uko ndani ya mtu.

Ndomana Yesu alitushagaa WANADAMU aliposema kama hamuwezi kuongeza siku zenu za kuishi Kwa kujishughulisha tu,

Mtawezaje kuuambia mlima huu ng'oka ukatupwe Baharini.

Imeandikwa, kumjua Mungu ndicho chanzo Cha maarifa na ufahamu,

Shetani huwapumbaza WANADAMU ktk kuhangaikia tumbo na starehe Ili washindwe kuconnect na Mungu ambaye tulikuwa ndani yake milele kabla ya kuingia katika miili.

Sijui unanisoma?
 
asante kwa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…