Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Alichosema ni kweli ila huu uhushuda haukutolewa na yeye yani source ni ya mtu mwingine pitia hizi channel YouTube Promovertv au shuhuda za kweliUna kithibitisho chochote cha maandiko kinachoonyesha kuwa anadanganya??
Asante ndugu, swala moja naomba nieleweshe tena, wafuasi wa shetani kama wachawi wanavyotaka kumtesa mtu labda kumtupia ugonjwa, maana yake wao wanakua wametenda hayo kupitia uwezo na maarifa ya roho chafu?NAFSI/ SOUL ni nini?
NAFSI Ina vitu vikuu vitatu,
1. AKILI. 2. HISIA 3. WILL ambayo inatafsirika ni uwezo wa kufanya maamuzi.
Mtu anapokufa au Mwili inapojitenga, nini hubaki kaburini, na kipi huenda wapi.
Ni hivi. Mwili ukitengwa na Roho na NAFSI,
Mwili hubaki pekeake, while Roho(Spirit) na SOUL NAFSI huw pamoja.
Ndipo hapo Kuna andiko lisemalo WAFU hawajui chochote, anaongelea mwili wa udongo. Ambao huoza.
Soul na Spirit ambamo Kuna akili hisia na Will ,Ule uwezo wa kufanya maamuzi ndivyo hutupwa Jehanum ya moto.
Nimesema katika Soul au NAFSI Kuna hisia,
Na hisia ndimi Kuna maumivu, huzuni ,furaha, kilio, kicheko nk nk
So kuzimu NAFSI ikiteswa kiroho inasikia, inaumia na Kila kitu inasikia.
Naomba kujua ikiwa nimekuacha mahala nirudi kuelewesha.
Maana naongea neno katika Roho, nahitaji Roho yangu na Yako viungane tuelewane katika Ulimwengu huo.
Ubarikiwe.
Hiyo KWELI itapingwa tu, huwajui Wana wa Giza wewe.Alichosema ni kweli ila huu uhushuda haukutolewa na yeye yani source ni ya mtu mwingine pitia hizi channel YouTube Promovertv au shuhuda za kweli
Kutokuamini kwako hakufanyi haya mambo yasiwepo! Mm ninaamini yote hayo aliyoyasimulia maqna mm ndugu yangu aliwahi kuumwa tukahisi tumempoteza naye aliporudi kwenye hali yake alitusimulia hivyo hivyo! Usibishe vyitu usivyovijuaThibitisha kama kuzimu ipo?
Hizi ni hekaya za watu kutoka Mashariki ya kati?
Hembu Lete kisa kutoka watu wa Mashariki mwa afrika ambao wakizungumzia habari hizo.
Amen
Share nasi experience Yako,
Labda watakuelewa wewyna
Nakuunga mkono Kuna movie unakuta watu wanaact mashoga wanafunga kabisa ndoa hapo wanachojaribu Ni kupotosha watu kuwa ushoga Ni kitu cha kawaida Na kinachokubalika wakati Ni dhambiKatuni nyingi zina siri ndani yake nyingi ni za kisheta ni kiongozi hasa zimelenga kuwaharibu ufahamu watoto,miziki,maigizo,sinema na michezo mbalimbali ni ya kishetani hili Roho Mtakatifu keshanifundisha
Kuna baadhi Ya nguo pia Zina michoro Ya kishetani izo nguo MTU anapozivaa anakua possessed Na maroho Ya kuzimuAmen
Share nasi experience Yako,
Labda watakuelewa wewe.
Yaani huamini kuhusu mwisho wa Dunia hii!!
Huamini kuwa WATAKATIFU watanyakuliwa,
Na vyote vimo katika maandiko utanifundisha nini wewe?
Usimjibu Dumas the terrible ana chofanya Ni kukudrain energy Na kukudistruct ili u loose concentration...just ignore him focus Na mafundishoYaani huamini kuhusu mwisho wa Dunia hii!!
Huamini kuwa WATAKATIFU watanyakuliwa,
Na vyote vimo katika maandiko utanifundisha nini wewe?
kila kitu kilikamilika miaka 2023 huko nyuma ila watu bado hawakumuelewa Yesu kamwe anapowaambia Ufalme wa Mungu umeshafika na aliwaambia wanafunzi wake matukio hayo yatatokea punde tu na hawatakufa bila kuuona ule mwisho ukifikaShida ni kwamba wengi wakiisoma bibilia wanatengeneza matukio yanayokuja mbele yao
Lakini kiuhalisia mambo yoote yalikwishatimia hata huo mwisho wa Dunia unaongelea kwenye bibilia
acha ujinga wewe unawapiga watu fake gospel yaani full matango pori na mapokeo ya makanisa yenu then unawaambia watu wapuuzie habari njema?Usimjibu Dumas the terrible ana chofanya Ni kukudrain energy Na kukudistruct ili u loose concentration...just ignore him focus Na mafundisho
Pia ukiingia youtube Kuna ushuhuda wa mwanadada anaitwa Erica Mukisa Ni Ugandan ..Huyo dada alitumika kuzimu miaka 18 tangu akiwa mdogo Na miaka 8 anaeleza hivihv kama rabbon anavoelezaKutokuamini kwako hakufanyi haya mambo yasiwepo! Mm ninaamini yote hayo aliyoyasimulia maqna mm ndugu yangu aliwahi kuumwa tukahisi tumempoteza naye aliporudi kwenye hali yake alitusimulia hivyo hivyo! Usibishe vyitu usivyovijua
Tumeshagundua Nia yako....hatukujibu kitukila kitu kilikamilika miaka 2023 huko nyuma ila watu bado hawakumuelewa Yesu kamwe anapowaambia Ufalme wa Mungu umeshafika na aliwaambia wanafunzi wake matukio hayo yatatokea punde tu na hawatakufa bila kuuona ule mwisho ukifika
na kihistoria mwisho wa Taifa la Israel ulikua mwaka 70 Warumi wakauhusuru Yerusalem na kuuchoma moto na wakavunja hekalu kutimiza ule unabii wa Yesu alipowaambia wanafunzi hakuna jiwe litabakia juu ya msingi wa hekalu na mambo hayo ya karibu kuja
huu unabii ulitimiza siku za mwisho maana Yesu ndie atakua hekalu takatifu maana kila amwaminiye atakapokea Roho Mtakatifu na mwili wake kua hekalu la Mungu
kuna mambo mengi sana watu hawajui kuhusu Injili ya Yesu Kristo watumishi karibu wote wanahubiri alichokifanya badala ya alichokisema hapo ndipo mkanganyiko unapo anzia yaani wamegeuka kua machawa wa Yesu kumsifia matendo aliyo yafanya badala ya kuchukua maneno aliyoyasema na kutendendea kazi thats why wanatuhubiria Injili iliyo jaa vituko!
hii ni takataka yaani nguo zibebe roho are you mad?Kuna baadhi Ya nguo pia Zina michoro Ya kishetani izo nguo MTU anapozivaa anakua possessed Na maroho Ya kuzimu
Kwa taarifa yako Mimi Ni m kkkt pure nimetoka familia Ya kidini wazazi wangu Ni watumishi kanisani baba mzee wa kanisa mama anaimba kwayaacha ujinga wewe unawapiga watu fake gospel yaani full matango pori na mapokeo ya makanisa yenu then unawaambia watu wapuuzie habari njema?
walokole mna mambo ya ajabu sana
njoo ufundishwe mtazamo sahihi kumhusu Kristo stop kua mtumwa wa fikra ndugu!
sitafuti kujibiwa na mtu humu nasimamia kueleza kweli na kweli itawaweka huru!Tumeshagundua Nia yako....hatukujibu kitu
Hii itakua idara mpya mkuuπππIdara ya cartoon π π hiyo kuzimu ni ya kisasa, lete na idara ya kuchat.
KKKT hawa hawa wa Martin Luther?Kwa taarifa yako Mimi Ni m kkkt pure nimetoka familia Ya kidini wazazi wangu Ni watumishi kanisani baba mzee wa kanisa mama anaimba kwaya
Biblia Mungu ameelezea mambo ambayo yatakuja kutokea huko mbeleni kabla dunia haijaumbwa...kama kifo cha Yesu Na kuzaliwa Kwa Yesu nabii isaya itabiri kabla Haya hayatokea Na vikaja kutokeaShida ni kwamba wengi wakiisoma bibilia wanatengeneza matukio yanayokuja mbele yao
Lakini kiuhalisia mambo yoote yalikwishatimia hata huo mwisho wa Dunia unaongelea kwenye bibilia
Hiyo injili ya watu kuhukumiwa kwa matendo umeitunga wewe ndugu hakuna kitu kama hicho kwenye agano jipya rudi kusoma maana sahihi ya neno Dhambi ndio uje tuongee hapaJambo la muhimu hapa Ni kwamba unahitaji msaada wa kiroho, Jambo hili linahitaji Muda yaani hatua kwa hatua. Unashauriwa uweke Nia katika kujifunza na kutafakari neno la Mungu.
Ni dhahiri shetani amekudanganya kwamba unachojitaji wewe Ni kuamini tu lakini Mambo mengine unaweza kuendelea na utaurithi ufalme wa Mungu (Kama kuiba iba, ua, roga Sana, uzinzi kwa wingi nk).
Ni kweli wote walio chini ya Yesu hakuna atakayepotea, lakini pia chini ya Yesu hakuna wachawi,wazinzi, waasherati, wauaji, waabuduo sanamu, wasengenyaji, wafiraji, waongo nk. Wote walio chini ya Yesu siyo tu wameamini lakini pia walitubu na kuacha matendo yao ya kale.
Mfano Yesu wakati ameletewa yule mwamanke aliyekamatwa akizini alimwambia "enenda zako usitende dhambi Tena".
Siyo kweli kwamba ukiokoka wewe Basi na mtoto wako jambazi, shoga na mwizi nae hatahukumiwa kwa matendo yake.
Mwisho: imeandikwa
"Mit 4:24
Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe."